CCM fanyieni kazi kero hizi mbili za Muungano

CCM fanyieni kazi kero hizi mbili za Muungano

Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.

Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.

Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?

2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.

Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
Mkataba wa muungano wa 1964 suala la Ardhi halikua la muungano ni nani Aliengiiza Ardhi ya tanganyika kuwa ya muungano ? Na kwa nini Alifanya hivo?
 
Umepaniki sana.

Kinachotakiwa ni Usawa. Kama Muungano unamambo ya Muungano yabaki ya Muungano, yasio ya Muungano yabaki kuwa sio ya Muungano. Ibaki hivi.
Unayajua mambo yaliyo ya Muungano na yasiyo ya Muungano? Mkishika Dola ongezeni mnayoona yanafaa. Mtu anatoa hoja kwa kuwa kaisikia kwa fulani, ila haelewi hasa nini anachoongelea.

Muungani hauwezi kuwa sawa hata mapato hayawezi kuwa sawa, kwa sababu sehemu ya pili ya muungano ni ndogo kwa eneo na kwa idadi ya watu pia. Hivi mnatumia akili au ushabiki.
 
Ni hatari sana.

Na hii itawafanya CCM wapitie kipindi kigumu sana hata kwenye uchaguzi wa mitaa maana ndiko ardhi inauzwa.
Kwenye uchaguzi wanategemea Magufuli style, hivyo hawajali lolote ni lazima walinde huo muungano wa matambiko.
 
Unayajua mambo yaliyo ya Muungano na yasiyo ya Muungano? Mkishika Dola ongezeni mnayoona yanafaa. Mtu anatoa hoja kwa kuwa kaisikia kwa fulani, ila haelewi hasa nini anachoongelea.

Muungani hauwezi kuwa sawa hata mapato hayawezi kuwa sawa, kwa sababu sehemu ya pili ya muungano ni ndogo kwa eneo na kwa idadi ya watu pia. Hivi mnatumia akili au ushabiki.
Ila hao wachache wanaweza kupata wabunge wengi!
 
Ukizielewa hoja inatosha.

Kwani waliungana ili wake wapate faida?
Haki haipimwi kwa wingi ama idadi.
Kama watu wao wanakuja huku na kununua ardhi, kwanini na sisi tusinunue ardhi? Kuna visiwa vingi tu a sio Zanzibar peke ake ila tunanunua ardhi na kukaa. Iweje wao wawe na hoja mfu?
Kwetu waje watawale, kwao kwenda kutawala haiwezekani? Shida Iko wapi?
 
acha upotoshaji,

eti watanganyika? wana umri gani kwa mfano huyo alie maliza form four [emoji205]

ni ngumu mno waTanganyika kuwaelekeza chochote waTanzania kuhusu Muungano [emoji205]

kwamba asiejua chochote kuhusu Tanganyika ati ana uchungu sana kuhusu hiyo Tanganyika asieijua bali ameifahamu kwa uchache sana kwenye historia ya vitabuni?[emoji205]

kwamba g.ulimwengu na warioba wachange mindset za vijana wazaliwa wa Tanzania wadai Tanganyika wasiyo ijua kweli, dah [emoji205]

watakua wamechagua kazi ngumu mno na wala haiwezekani hata nukta moja [emoji205]
Tanganyika siyo jina ila ni ardhi, ipo tangu zama hizo na wenye ardhi yao (Watanganyika) wanazaliwa kila leo.
 
Wewe ulitaka ardhi Zanzibar? Uifanyie nini, hauwezi kulima, kipi hasa ulikosa katika ardhi ya bara, kilichopo huko sio kwa ukubwa, ubora, na thamani.

Hiyo ardhi ukichukua matajiri 10 tu kutoka bara wanaimaliza, bado wewe hutoambulia kitu.

Wewe ulitaka upewe uongozi wa kisiasa huko Zanzibar, yani hizo hoja unatoa ni kipi ulitaka ukakikosa.

Unapokuwa na lalamiko kuna kitu kimekosekana au kimeshindikana, ni nini hiko au unasikiliza wanasiasa?

Kama ni wanasiasa ninyi CHADEMA tangazeni sera yenu kuwa mkipata madaraka mtaruhusu hayo mnayosema, wananchi wanaowaunga mkono watawasapoti.
Uchawa ukizidi unakuwa ujinga.
 
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.

Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.

Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?

2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.

Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
WAONDOE KIKOKOTOO,MENGINE BAADAE
 
Ukizielewa hoja inatosha.

Kwani waliungana ili wake wapate faida?
Haki haipimwi kwa wingi ama idadi.
Kama watu wao wanakuja huku na kununua ardhi, kwanini na sisi tusinunue ardhi? Kuna visiwa vingi tu a sio Zanzibar peke ake ila tunanunua ardhi na kukaa. Iweje wao wawe na hoja mfu?
Kwetu waje watawale, kwao kwenda kutawala haiwezekani? Shida Iko wapi?
Wewe ulitaka nini ikashindikana au na wewe umekaa nyumbani unaangalia clip za wanasiasa na kuitikia
 
Ila hao wachache wanaweza kupata wabunge wengi!
sijaona jibu la hoja, nini kimekosekana au kushindikana au na wewe unadandia hoja za wanasiasa.

Hebu tutumie akili ya kawaida tu ya kuzaliwa.
 
Sasa Unguja au Pemba kuna Ardhi ya kugawana?
Siyo swala la ardhi ya kugawana, ni swala la kuwepo na kizuizi bayana kikibagua watu.
Mimi nikikubaliana na rafiki yangu toka Zanzibar anipe kipande cha ardhi nami nimgawie kipande huku kwetu, mimi sitakubaliwa, kwa sababu tu natokea bara, siyo kwa sababu hakuna ardhi. Sijui kama umenielewa.
Udogo wa ardhi siyo hoja hata mara moja, ni kubaguliwa watu dhahiri kabisa.
 
Back
Top Bottom