CCM fanyieni kazi kero hizi mbili za Muungano

CCM fanyieni kazi kero hizi mbili za Muungano

sijaona jibu la hoja, nini kimekosekana au kushindikana au na wewe unadandia hoja za wanasiasa.

Hebu tutumie akili ya kawaida tu ya kuzaliwa.
"Utumie akili" kwa kuvunja sheria za nchi; siku wakiamua kuzitekeleza hizo sheria utasemaje!
 
Ipo ya kumwaga, ni akili tu ndio zinazotakiwa kuchakatwa. Kama ardhi haipo, hao wa huko wanaishije? Investements za mahotelini zinafanyikaje bila ujenzi na hao wajenzi wanajenga wapi?

Zanzibar ni kisiwa kama Maldives na huko maldives huwezi sikiwa wanasema haya mambo ya kutokuwa na ardhi ya kutosha. Wao kila siku ni kupigania land reclamation na kununua udongo kutoka sehemu mbalimbali duniani. Hata Zanzibar wanaweza na hii kauli kwamba haina ardhi ya kutosha imekuwa ni utopolo wa kutokea hapo.
Yule Diwani wembe aliyemdhalilisha Shukuru kule Bagamoyo, si anapeleka Mchanga Unguja
 
Yule Diwani wembe aliyemdhalilisha Shukuru kule Bagamoyo, si anapeleka Mchanga Unguja
Ndio fursa za Muungano kumbe…wakiuvunja tu, Biashara za watu Nazo basi kumbe ndio maana wanaungangania bila kutatua changamoto zake…Muungano ni Biashara/deal za watu…
 
"Utumie akili" kwa kuvunja sheria za nchi; siku wakiamua kuzitekeleza hizo sheria utasemaje!
Sheria ipi imevunjwa? Ukiitaja nitaona ndugu unazo common sense.
 
Back
Top Bottom