Subiri wanakujaChonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka...
Mbona hiyo restriction hamjaiweka mafia au ukerewe acha upompoma wewe mja laana.Sasa Unguja au Pemba kuna Ardhi ya kugawana?
Una hasira za mkizi πΌMbona hiyo restriction hamjaiweka mafia au ukerewe acha upompoma wewe mja laana.
AJINGA WA CHUO KIKUUChonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?
2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wtaanza kuzomewa.
Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
Ni hatari sana.Hapo ni kuongeza mambo ya muungano mpaka tuwe na serikali majo. Hauwezi kuwa na masharti yanayo pendelea upande mmoja eti kisa wana eneo dogo.
Shida ya CCM haibadiliki imekaa kama jiweChonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?
2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.
Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
Hata Kilimanjaro ardhi ni kidogo sn lakini sijawahi kusikia msukuma au mhaya amezuiwa kununua ardhi Kilimanjaro kisa ni kidogoWangekuwa wanauza wamahamia huku Tunduru kuna ardhi ya kutosha. Sio lazima wabaki huko huko.
Tuwasikilize wananchi.
Mbona hata Kilimanjaro ardhi ni kidogo lakini hatuwahi kusikia mkinga amezuiwa kuja kununua ardhi Kilimanjaro, why Zanzibar?Sasa Unguja au Pemba kuna Ardhi ya kugawana?
acha upotoshaji,Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?
2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.
Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
Ipo ya kumwaga, ni akili tu ndio zinazotakiwa kuchakatwa. Kama ardhi haipo, hao wa huko wanaishije? Investements za mahotelini zinafanyikaje bila ujenzi na hao wajenzi wanajenga wapi?Sasa Unguja au Pemba kuna Ardhi ya kugawana?
Kama ni Muungano na sisi ni wamoja, sioni shida tukinunua Ardhi, na wao wanaponunua huku wahamie tu.Ipo ya kumwaga, ni akili tu ndio zinazotakiwa kuchakatwa. Kama ardhi haipo, hao wa huko wanaishije? Investements za mahotelini zinafanyikaje bila ujenzi na hao wajenzi wanajenga wapi?
Zanzibar ni kisiwa kama Maldives na huko maldives huwezi sikiwa wanasema haya mambo ya kutokuwa na ardhi ya kutosha. Wao kila siku ni kupigania land reclamation na kununua udongo kutoka sehemu mbalimbali duniani. Hata Zanzibar wanaweza na hii kauli kwamba haina ardhi ya kutosha imekuwa ni utopolo wa kutokea hapo.
Umepaniki sana.Wewe ulitaka ardhi Zanzibar? Uifanyie nini, hauwezi kulima, kipi hasa ulikosa katika ardhi ya bara, kilichopo huko sio kwa ukubwa, ubora, na thamani.
Hiyo ardhi ukichukua matajiro 10 tu wanaimaliza, bado wewe hutoambulia kitu.
Wewe ulitaka upewe uongozi wa kisiasa huko Zanzibar, yani hizo hoja unatoa ni kipi ulitaka ukakikosa.
Unapokuwa na lalamiko kuna kitu kimekosekana au kimeshindikana, ni nini hiko au unasikiliza wanasiasa?
Kama ni wanasiasa ninyi CHADEMA tangazeni sera yenu kuwa mkipata madaraka mtaruhusu hayo mnayosema, wananchi wanaowaunga mkono watawasapoti.
Bandiko Kuntu sana hili. Kweli, tumeunganika, ardi tununue potepote bila ajizi.Kama ni Muungano na sisi ni wamoja, sioni shida tukinunua Ardhi, na wao wanaponunua huku wahamie tu.
Ila kwa sasabu ya viongozi wachache wanafanya maamuzi ya ajabu.
Hahaaa, kumekuchaa,Mbona hiyo restriction hamjaiweka mafia au ukerewe acha upompoma wewe mja laana.
Hiyo hiyo wanayowapo waarabuSasa Unguja au Pemba kuna Ardhi ya kugawana?