BUMIJA MOSES
Member
- Aug 27, 2020
- 75
- 85
Waswahili walinena "Ukiona moshi unafukuta, elewa hapo kuna moto ukaribia kuwaka. sisi wengine kazi yetu itakuwa kudokoa macho hasa kuanzia mwaka 2022, kwenye uchanguzi wa ndani wa CCMTunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.
Mama shituka mapema you will thank me later.
View attachment 1888095
PIA, SOMA:
- Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025