Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 447
- 712
Mimi binafsi sijawahi kuona mtu akinunua hilo gazeti sijui wanajiendesha kwa ruzukuet waswahili wanasema "meno ya mbwa hayaumani"
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi sijawahi kuona mtu akinunua hilo gazeti sijui wanajiendesha kwa ruzukuet waswahili wanasema "meno ya mbwa hayaumani"
Nadhani nilishakupa angalizo juu vyama. Nilitamani nijadiliane nawe juu ya haya yanayoendelea kuhusu makosa ama makusudi juu ya upashanaji wa habari jinsi unavyokwenda, lakini naona upo kichama zaidi, hivyo sitapa elimu kama nilivyohisiWakati hayo yanafanyika hao CDM wanaojikweza kila siku wana nguvu ya umma walikuwa wapi na huo umma wao?
Wewe ni mnafiki haswa ,tena laanakumTunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama...
Uko sahihj mkuu, mama kwa sasa yuko peke yake japo bado hajaliona hili, kifupi hana pa kuegemeaMama kitu anachoshindwa kuelewa ni hivi
Kipindi mama ameingia madarakani timu Magu wakiongozwa na Veronica walikuwa wanampiga vita, watu wa upinzani na hasa wale waliokuwa wameumizwa na utawala uliopita ndio walikuwa wakimpa support kubwa na viongozi wa dini..
Ila Magufuli hakuwa na upinzani ,basi sawaHuu ndio ushahidi huyu mama anahujumiwa. Huu ni ushahidi kuwa hata ndani ya CCM ana upinzani mkali
Asiposhtuka itakula kwake mazima
Jiwe yuko wapi kwa sasa kama siyo motoniHata Magu mlisema hawamtaki 2020.
Yani nyie huwa mnaifananisha ccm na hivyo vikundi vyenu vya akina Mbowe,
Siyo uzembe ..... Ni mpangoa wa watu. Hapo wanatest kina cha maji kwanza.
Mkuu chadema wengi bado wanahisi anaewaonea sasa hivi Magufuli!Lilishamwangusha, Lowassa alikuwa anamtunishia jamaa akiamini yeye ndiye alimweka ikulu. Sasa hawa wamemwangusha nini Mama? Hivi kuna mtu mtiifu kwa mamlaka kama Majaliwa kwa sasa, kumuondoa Majaliwa ni kumuonea na kuleta taharuki kubwa kwenye chama. Pamoja na mapungufu yake mengine mtu mwingine mtiifu sana kwa mamlaka ni Mwigulu, kumtoa huyo utaonekana una matatizo wewe mtumbuaji.
...
Tuliwambia nyie Magufuli aliwachalaza akiwa hai na bado atawachalaza akiwa mfu!..alikuwa na nia nzuri ya kurudisha haki na utu miongoni mwa Watanzania.
..tatizo amezidiwa nguvu na kundi lililokuwa likifanya udhalimu wakati wa magufuli.
..inawezekana ni kweli hataki kugombea 2025.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unachekelea nini hapo mkuu?Magambaaaaaaaaa hahahahaha dah Mungu huyu
Unajifariji!Albadili inafanya kazi mapema mno! Mbowe sio Gaidi
Chadema inaingiaje hapa? Ufalme uliofitinika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unachekelea nini hapo mkuu?
Unahisi hili litawapa faida gani chadema?
Kwa hiyo hakugombea?Jiwe yuko wapi kwa sasa kama siyo motoni
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajifariji bure mkuu! Hiyo habari itapotelea hewani tu hutona hata harufu yake tena kuanzia kesho tu.Chadema inaingiaje hapa? Ufalme uliofitinika
🤣🤣🤣🤣Hilo gazeti litafungiwa?
BWANA some time tunachoshana tu , Sasa anataka kugombea tena Ili iweje, ??,Aiseee