CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

Waswahili walinena "Ukiona moshi unafukuta, elewa hapo kuna moto ukaribia kuwaka. sisi wengine kazi yetu itakuwa kudokoa macho hasa kuanzia mwaka 2022, kwenye uchanguzi wa ndani wa CCM
 
Kwa ufupi ni hivi, Balozi amemshauri SSH asikimbizane na vita ya nje, vita kamili iko ndani ya CCM.

Sasa kama Mzee Balozi Kagasheki anasema hivi, hivi vijamaa vingine vinapata wapi guts za kubishana nae?

 
Mkumbusheni Mwenyekiti wenu, nyoka anawafuga mwenyewe na kamwe hawapo nje kama anavyoaminishwa! Adui wa CCM ni CCM wenyewe wakishirikiana na Polisi ni TISS.

SSH kukimbizana na Upinzani ni wastage of time na akija kustuka watakua wameshamtupa
 
Hao nyoka awataje! kwani hayo hayawezi kuwa makosa ya wandishi?
 
Hili gazeti halikuchapishwa kwa bahati mbaya - stay turned.
 
Mara PAAPUUUUU mama anajitokeza na kusema ni kweli hana nia ya kugombea kwa sababu for 05 years alikuwa makamu na mgombea mwenza, na hii mi 5 alikuwa mgombea mwenza so anaona hakuna haja maana yeye na Dkt Magufuli ni kitu kimoja
 
Ila kweli Rais ni mweupe sana... Kuna taarifa nyingi sana nafikiri hazimfikii inavyostahili.
Ndiyo maana wengine tukasema ile mapema tu kwamba hapo tumepigwa si kidogo. Wengine vipofu wakadai apewe muda.
 
Mmeanza kukamatana machoni.....kila mmoja anademka kwa wakati wake kuja kumtetea mama kwamba kalishwa maneno, aisee njaa na unafiki ni mbaya sana..
 
Ni kweli maana Rais alisema hakuwa na wazo la kuwa Rais siku moja ila wenyewe wameweka maneno yao.Hao ni wahuni Wana malengo yao.

Hisia zangu ni hizi hapa.

1. Maza atasepa 2025. Hakuutafuta Umakamu, wala Uraisi.

2. Maza hataruhusu katiba mpya, pia hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…