CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

Acheni ramli chonganishi, CCM huwa wanajua kushughulikia mambo yao ya ndani kwa weledi mkubwa! Kuna migogoro ilishaibuka huko mikubwa mnoo, ikatulizwa, mojawapo ni ule mgogoro wa 2015 ambao mwishowe waliwatupia takataka lao huko kwenu mkalimeza mazima, likawamaliza nyinyi. Hamna mgogoro CCM kwa sasa.
 
Jana nilisema kwenye thread hii kuwa, nanukuu,

“Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo”.

 
Kwahiyo unakubali kuna mgogoro.
 
Inawezekana sio upotoshaji bali ndio msimamo wa wenye chama chao! si tuliambiwa walitaka kuvunja katiba ili mama Asiapishwe? basi kuna uwezekano mkubwa wenye chama chao wametuma meseji kupitia gazeti pendwa la chama... meseji senti!
 
Hii barua ina mapengo mengi.

Hajasema maneno gani?!

Taarifa rasmi kwa Umma ni lazima iandaliwe kwa weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…