CCM, gesi haiondoki Mtwara piga ua

CCM, gesi haiondoki Mtwara piga ua

tumeskia kuhusu hicho kikao,lakini jiulize watu wote ni wajinga hadi wafikie hatua ya kukaidi suala hilo kama lina manufaa??ukwe;i ni kwamba rasimu ya sheria ya gesi na vipaombeele vyake kwa ujumla haiko wazi,na hili suala limechukuliwa kisiasa zaid,gesi iko mtwara sherehe za uzinduzi wa bomba unafanyia dsm ikiwa na mantiki ipi??kama wanaona kuna fursa zipo kwanini wasiwaeleze wananchi wanasubiri hadi zomea zomea ifike kisha ndiyo waje kuwaplease raia??

Watu wa mtwara sio vihiyo kwa kiasi hiko,na sio kwamba wamekosa shule kwa kiwango cha chini kiasi hiko,kila kitu kiko wazi,wanasiasa wameingiza interest zao pale
Mkuu i was there katika msafara wa waziri wa nishati kule kijijini nafikiri ilikuwa aruond june this year na hii dhana mbona kama ilikuwa na mashiko sana kwa wanamtwara anyway na nasikia wananchi wameshalipwa fidia katika maeneo yote gesi itakapopita, kama wameweza kuchukua fidi, sasambona sasa ni kama too late??
 
00161117:bc888e564618cd620e97af3ebe51df06:arc614x376:w614:us1.jpg
Cashew_008%25255B2%25255D.jpg
 
THE BIG SHOW, SHERRIF ARPAIO,

..mimi nadhani mngepigania umeme usambazwe wilaya zote ktk mikoa ya kusini.

..pia suala la ELIMU litafutiwe ufumbuzi ktk mikoa ya kusini.

..elimu ina matatizo sana maeneo ya kusini. kuna maeneo waalimu wanabakwa, kwingine kuna migogoro ya udini, halafu uchanganye na suala la utoro na wazazi kuozesha watoto wa kike.

..bila kutatua matatizo ktk sekta ya elimu wananchi wa kusini hawawezi kufaidika na uchimbaji wa gesi ktk maeneo yao.

..pia kuwe na mfumo mzuri zaidi wa manunuzi ya mazao kama Korosho na mengine yanayopatikana huko.

..Shiyanga, Geita, Tabora, wana migodi ya dhahabu lakini hali zao hazina tofauti na wakati hawana migodi hiyo. kwa msingi huo hoja ya wananchi wa kusini inapaswa kujumuisha mambo mengi sana na siyo kulazimisha tu "gesi haitatoka Mtwara."
Turkana-large.jpg
 
le big show heshima mbele kwanza, nashukuru kwa wewe na wananchi wenzako kwa kuonyesha concern kwenye issue ya gas ingawa nina wasiwasi kuna makosa ya kiufundi mnaweza kuyafanya halafu mkajikuta hata mkipewa forum ya kusikilizwa mnachotaka kifanyike mkajikuta mnaongea vitu ambavyo vikiwa implemented mkajikuta back to square one. Viwanda vimejengwa na hamna ajira mlizotegemea.

Nchi hii ina tatizo kubwa la management ya natural resources and distribution of national cake, ni tatizo mtambuka, ku-break cycle yake inahitaji ulielewe vizuri tatizo in totality ili u-identify entry point ambayo hata kama haitakuwa na significant impact on breaking the cycle, at least iwe most beneficial to the impoverished community.

Ukiangalia issue ya gas kama zilivyokuwa kwenye natural resource nyingine kama madini ambayo exploitation yake ni capital intensive, watu wameshachukua 10% zao na kuziweka uswisi lakini kibaya zaidi ni kuwa kuna udhaifu mkubwa sana wa kumonitor cost anazo-inccur investor as upfront cost and operational cost throughout all phases of the project. Hili tumeliona kwa pan african energy jinsi walivyoinflate cost zao na tutaliona tena kwenye hizo project zitakazofuata.

Nilichokuwa nashauri ni kutafuta washauri hata kwenye forum kama humu jf ambao wamefamiliarize na case kama hizi watupe ushauri, given mazingira, sheria na matatizo tulio nayo, where best can we start to break the cycle. Tunaweza kufikiri kujenga viwanda ni strong approach, kumbe the best ni kudeal na gas policy. Manake given umasikini na illitracy level tuliyo nayo, ili hii gas imnufaishe mwananchi kule mtwara na kwingineko inahitaji more than honest government nothing short of saint government. Mimi si mtaalamu wa haya mambo (academically) lakini nina interest ya kuyasoma in future.



thank you so much & receive my appriciations,,
kikubwa tunacholilia wana mtwara sio kuikumbatia gesi hiyo kwa ubinafsi na wenzetu wa sehemu zingne wasinufaike na rasilimali hii,la hasha,tunacholilia ni kwa serikali kuweka mipango mtambuka ambayo itaifanya mtwara kama mtwara iwe ni kitovu mama kwa upatikanaji wa gesi yenyewe ili kuvutia wawekezaji na ujenz wa viwanda vitavoinua maisha ya wana mtwara na kanda hii kwa ujula,kuimarika kwa miundombinu na kupunguza umaskin kwa kasi,,hicho ndicho kilio chetu,ila sasa serikali imeliacha hilo,,pia kuhusu viwanda mambo yanaenda,kuna tajiri mmoja wa nigeria anaitwa dangote kaja kuwekeza kwenye kiwanda cha cement,ndio mwanzo huo tunaoutaka
 
kwa jinsi matatizo yalivyo mengi tanzania hii, ukianza kulichambua tatizo moja moja on top of the problem chain utakuta kimekaa kitu kinaitwa CCM, Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana wa kuyaondoa matatizo mengi sana kama utaiondoa CCM, Otherwise logic inatuambia tukianza kudeal na tatizo moja moja huku CCM ipo madarakani inaweza kutuchukua miaka 200 kurekebisha hali.
 
kwa jinsi matatizo yalivyo mengi tanzania hii, ukianza kulichambua tatizo moja moja on top of the problem chain utakuta kimekaa kitu kinaitwa ccm, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana wa kuyaondoa matatizo mengi sana kama utaiondoa ccm, otherwise logic inatuambia tukianza kudeal na tatizo moja moja huku ccm ipo madarakani inaweza kutuchukua miaka 200 kurekebisha hali.



ni kweli mkuu

kwa kiasi kikubwa,ccm ni kikwazo

tena sana
 
ni kweli mkuu

kwa kiasi kikubwa,ccm ni kikwazo

tena sana
Kumbuka Mtwara, Lindi, Tabora, Tanga na Pwani ndio firewall ya CCM. Uchaguzi ukija Mtwara ndio kinara wa CCM. Mtaendelea kuwa na gesi na hamtofaidika nayo kama Tabora na dhahabu yao
 
kumbuka mtwara, lindi, tabora, tanga na pwani ndio firewall ya ccm. Uchaguzi ukija mtwara ndio kinara wa ccm. Mtaendelea kuwa na gesi na hamtofaidika nayo kama tabora na dhahabu yao


uko sahihi

sometimes ni upumbavu wetu na ufala wetu,,

yani kama tumerogwa vile
 
uko sahihi

sometimes ni upumbavu wetu na ufala wetu,,

yani kama tumerogwa vile

Mkuu le big show, kwa kuwa hizi harakati za kubakiza gas mtwara zinaonyesha zina mwitikio mzuri kwa wananchi wa kawaida huko, na wameweza kumeza hicho kidonge, siyo vibaya mkawaambia kuwa tiba kamili inabidi wameze na kidonge kingine ambacho ni kuwaelimisha uhusiano uliopo kati ya umasikini+ujinga wao na serikali iliyopo madarakani hence waiondoe CCM as the mother of all problem.
 
Mkuu le big show, kwa kuwa hizi harakati za kubakiza gas mtwara zinaonyesha zina mwitikio mzuri kwa wananchi wa kawaida huko, na wameweza kumeza hicho kidonge, siyo vibaya mkawaambia kuwa tiba kamili inabidi wameze na kidonge kingine ambacho ni kuwaelimisha uhusiano uliopo kati ya umasikini+ujinga wao na serikali iliyopo madarakani hence waiondoe CCM as the mother of all problem.



hiyo kazi inafanyika sana

kuna timu ya asasi zisizo za kiserikali tuliziunganisha nguvu kutoka dsm kuja huku mtwara na kufanya mkutano nawanchi maeneo ya mtwara mjin,na mwitikio na mzuri,kulikua na waandishi wa habari na taarifa za maoni za wananchi zimechukuliwa,zitapelekwa ofisi ya bunge kabla ya kuanza kwa mkutano wa bunge utaojadili muswada wa sheria hii ya gesi,,haki lazima ipiganiwe mkuu
 
Ccm habari hii iwakae sana akilini,na mkae mkijua ya kwamba suala la kuitoa gesi mtwara na kuihamishia sehemu zingne kutaathiri moja kwa moja maendeleo ya mkoa huo,,

kuna mpango ushaandaliwa wa kikwete kutaka kuipeleka gesi hii bagamoyo ili awalipe fadhila watu wa kwao pindi atapoondoka madarakani,,

suala hili halitavumilika hata kidogo,zipo juhudi za wanaharakati wa asasi zisizo za kiserikali zinafanywa kuupinga mpango hadi bungeni,,

gesi hii ingekua imegundulika arusha ccm ingethubutu kujenga bomba kuitoa arusha kuipeleka bagamoyo??ingethubutu??

Sasa kwa mtaji huu mmechokoza vita vingine,,ikibid hata msituni tutaingia,hata kujitenga tutajitenga,,


tuachieni gesi yetu tunufaike nayo,hatujakataa kugawa nishati kutokea mtwara kwenda sehemu zingne,tunachotaka ni uwepo wa gesi kanda ile ili kuwepo na ujenzi wa miundombinu,viwanda na kuongezeka kwa ajira za wananchi wa kanda ile

tutapigana sana katika hili

kamanda nakuunga mkono mia mia! wakati ndiyo huu sasa na sisi tuanze kuonekana na tuzikomboe familia zetu na mazingira duni..hata kama kwa kujitenga poa tu, niliwahi kuuliza ni kwa nini serikali imekimbilia kujenga miundo mbinu maeneo mengine na kutuacha sisi huku mtwara pamoja na rasilimali tulizonazo? huko kilimanjaro kuna barabara za kata zina lami na hakuna mapato yoyote yale yanayopatikana kutokana na barabara hizo.mfano! barabara yakutoka rau hadi uru ina lami, barabara ya kibosho huko ndani ndani ina lami. ukianzia kwasadala hadi masama bado kidogo lami itakamilika..hizo na nyinginezo hazina faida yoyote kwa taifa hili, wanajengewa kisa tu mlima kilimanjaro!! turudi kwangu mtwara hivi ukiacha barabara ya mtwara hadi masasi kuna barabara nyingine yoyote inayounganisha wilaya yenye lami? je, ni mapato kiasi gani serikali inayapata kwenye korosho? Jamani Wanamtwara tuinuke tuseme sasa tosha tusikubali tena rasilimali gesi iliyopatikana kwetu iondoke na kutuacha maskini.
 
kamanda nakuunga mkono mia mia! Wakati ndiyo huu sasa na sisi tuanze kuonekana na tuzikomboe familia zetu na mazingira duni..hata kama kwa kujitenga poa tu, niliwahi kuuliza ni kwa nini serikali imekimbilia kujenga miundo mbinu maeneo mengine na kutuacha sisi huku mtwara pamoja na rasilimali tulizonazo? Huko kilimanjaro kuna barabara za kata zina lami na hakuna mapato yoyote yale yanayopatikana kutokana na barabara hizo.mfano! Barabara yakutoka rau hadi uru ina lami, barabara ya kibosho huko ndani ndani ina lami. Ukianzia kwasadala hadi masama bado kidogo lami itakamilika..hizo na nyinginezo hazina faida yoyote kwa taifa hili, wanajengewa kisa tu mlima kilimanjaro!! Turudi kwangu mtwara hivi ukiacha barabara ya mtwara hadi masasi kuna barabara nyingine yoyote inayounganisha wilaya yenye lami? Je, ni mapato kiasi gani serikali inayapata kwenye korosho? Jamani wanamtwara tuinuke tuseme sasa tosha tusikubali tena rasilimali gesi iliyopatikana kwetu iondoke na kutuacha maskini.



kweli mkuu,,
na kuna watu baaadhi wanapinga na kusema pato hili ni letu sote kwaiyo ni lazima tutumie sote,hakuna anaekataa kushare gesi hii kitaifa,hoja iliyopo ni kuitumia ipasavyo kwa manufaa ya wote na wa kupewa kipaombele ni wahusika wa kanda hii,sasa wahusika wenyewe hawajaoneshwa ni vipi watanufaika nayo ccm na serikali yao wanaihamisha tena bila hata maelezo ya ufafanuzi kwa wananchi wa huku
 
Mkuu i was there katika msafara wa waziri wa nishati kule kijijini nafikiri ilikuwa aruond june this year na hii dhana mbona kama ilikuwa na mashiko sana kwa wanamtwara anyway na nasikia wananchi wameshalipwa fidia katika maeneo yote gesi itakapopita, kama wameweza kuchukua fidi, sasambona sasa ni kama too late??

wanatuddanganya na bonus ya umeme, kuna ofa huku isiyokuwa na mashiko...

eti kupata umeme sasa kwa mtwara ni sh.99000

masharti ni usiwe mbali na nguzo..mita 30!! jamani mambo mengine ni aibu kabisa.
 
kweli mkuu,,
na kuna watu baaadhi wanapinga na kusema pato hili ni letu sote kwaiyo ni lazima tutumie sote,hakuna anaekataa kushare gesi hii kitaifa,hoja iliyopo ni kuitumia ipasavyo kwa manufaa ya wote na wa kupewa kipaombele ni wahusika wa kanda hii,sasa wahusika wenyewe hawajaoneshwa ni vipi watanufaika nayo ccm na serikali yao wanaihamisha tena bila hata maelezo ya ufafanuzi kwa wananchi wa huku

kwa sasa inabidi tupambane..si kwa kuandika hapa tu hata kuwapa wananchi maarifa na waelewe ni nini cha kufanya..
mkuu bonus ya umeme huku umeisikia? yaani ni kuwaadaa tu wananchi....
 
kwa sasa inabidi tupambane..si kwa kuandika hapa tu hata kuwapa wananchi maarifa na waelewe ni nini cha kufanya..
mkuu bonus ya umeme huku umeisikia? yaani ni kuwaadaa tu wananchi....


hadaaa hii imeshagonga mwamba

nimeskia hizo taarifa,aibu inawafuata ccm
 
The Big show nakupongeza kwa kuendesha harakati kwenye mtandao wa jamii, jitahidi kusambaza elimu hii iwafikie wananchi waliowengi huko, si rahisi kwako kuwafikia wote, ila unaweza kuwapata watu wachache wenye ushawishi wasambaze harakati hizi kwa wengine
 
the big show nakupongeza kwa kuendesha harakati kwenye mtandao wa jamii, jitahidi kusambaza elimu hii iwafikie wananchi waliowengi huko, si rahisi kwako kuwafikia wote, ila unaweza kuwapata watu wachache wenye ushawishi wasambaze harakati hizi kwa wengine



thanks mkuu,tunaungana na wanaharakati wengine katika juhudi zao mbali mbali kujenga msimamo na uelewa dhidi ya dhulma hii ya ccm dhidi ya kanda ya kusini,kusini imekosa wabunge wenye uchungu na kusini yao,watu kama mkuchika na hawa ghasia wamekua vibaraka wa kikwete na kuisahau kabisa kabisa asili yao,,hali hii itawatokea puani,,hili litawasumbua sana
 
hadaaa hii imeshagonga mwamba

nimeskia hizo taarifa,aibu inawafuata ccm

inabidi tuwapinge kwa nguvu zote
sisi vijiji vyetu viko mbali kabisa na hizo nguzo za umeme
bonus wanayotoa haiwezi kabisa kuwanufaisha wananchi waliopo mbali na hizo nguzo..
hata wale waliopo karibu bado kuna tatizo..
ni miaka kadhaa sasa vijiji vingi vimepitiwa na mtandao wa nguzo za umeme lakini havina umeme!
sisi huku hadi sera ya umeme haina mashiko yoyote yale. haitekelezwi huku kwetu!
safari hii hatukubali hata kidogo..
serikali ya ccm ndiyo chanzo cha maendeleo duni kusini..
TUMEWACHOKA!!

sasa tunahitaji elimu bora, afya bora,miundo mbinu mizuri ya maji na barabara n.k!
 
THE BIG SHOW! Suala si kuhamisha gesi mtwara, bali kuwa na mfumo wazi kuhakikisha jamii za mtwara zinapata first priority kuwekewa umeme/huduma hiyo ya gesi (japo nyumba nyingi kule ni nyasi na makuti....umaskini umekithiri) sijui namna gani wanaweza kulipia ankara za kila mwezi za TAANESCO! Pia, tunaweza hapa kuongelea Corporate social responsibility (CSR) na OPen Governance -kuhakiksha kunakuwepo uwazi katika makusanya ya kodi itokanayo na gesi na fungu fulani kuachiwa wananchi -(sio viongozi wao) waboreshe miundo mbinu maeneo yao

Sidhani kama sahihi kumpa mtu first priority ambaye hayuko tayari hata kulipia huo umeme. Nadhani kwa principle za biashara bidhaa huwa zinakwenda katika sehemu yenye soko. Kwa maana hiyo automatically kama zaidi ya 80%ya makusanyo ya TRA kwa nchi nzima yanatoka DSM it's obvious kwamba DSM ndio sehemu yenye soko kubwa kwa bidhaa yoyoyte. Kuifanya Mtwara kuwa kama DSM ni suala la kimkikakati ambalo linahitaji muda na sio kwa gesi iliyopatikana hv sasa kuna factors nyingi, DSM haikufika hapa ilipo kwa kigezo kimoja, angalia bandali, viwanja vya ndege, ofisi za serikali na mawizara, angalia viwanda, wakazi wake, elimu na mambo mengine kibao. Nadhani Mtwara bado inatakiwa kupita katika safari ndefu sana. Ukiiangalia ndo kwanza imefunguka kwa barabara kutoka DSM.
 
Back
Top Bottom