UMEONGEA KWELI MKUU,,
CCM IMEFIKISHA MAHALA HAPA MKOA HUU,,
NA WAMEJONEA WENYEWE HAPA JUZI JUZI KWA ZOMEA ZOMEA ILIYOWAKUMBA
Tukishapata jimbo letu ndo tutajua nani anutufaa na nani hatufai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMEONGEA KWELI MKUU,,
CCM IMEFIKISHA MAHALA HAPA MKOA HUU,,
NA WAMEJONEA WENYEWE HAPA JUZI JUZI KWA ZOMEA ZOMEA ILIYOWAKUMBA
Tukishapata jimbo letu ndo tutajua nani anutufaa na nani hatufai.
Tukishapata jimbo letu ndo tutajua nani anutufaa na nani hatufai.
AMINI USIAMNINI
HILI LA GESI NDILO LINALOKUJA KUWAONDOA MADARAKANI NA KUMALIZA ZAMA ZAO HUKU MOJA KWA MOJA
AMINI USIAMNINI
HILI LA GESI NDILO LINALOKUJA KUWAONDOA MADARAKANI NA KUMALIZA ZAMA ZAO HUKU MOJA KWA MOJA
Tukishatulia ndo tutajua.
si nilisikia eti mtwara kuvuta umeme ni tsh 96,000/= tu, pia eti wale wakazi wa karibu na msimbati kule kwenye visima vya gesi wataunganishiwa umeme bure na pia chuo cha veta mtwara kianze kutoa kozi zinazohusiana na oil exploration kumbe zote hizo zilikuwa ni fiksi?
nangu nguona kukotopala sana na kukaya kwangu....
Vanitudharau sana avano na nelo vavemkwida haaaaaa....
Kwishney!!
Gesi haitoki, tunalipua mabomba
kikwete na ccm yake wanadhani ya kwamba sisi tumesahau hizo ahadi zao,tunafatilia hata kama tupo mbali,tunakwenda kwetu na tunajua kila kinachojiri
ikibidi hata kujitenga tutajitenga tuh,,uasi unaanza hivi hivi,,nadhan hawawajui wamakonde,,
wakaulize tandahimba polisi wao walifanywa nin,labda mlete jwtz lakin mesegi wataipata tuh
tushachoka na fiksi zao
weee kikwete! Jiangalie sana...tena jiangalie, mwenzako che nkapa kaondoka madarakan lakin jina lake lipo ktk mioyo ya watu wa kusin kwa uzur sasa kama ulikuw huwajui watu wa kusin wakoje...! Jaribu kutorosha utajir wetu then uone kitakachotokea!
watani wangu wala msiwe na wasiwasi mtafaidika tu na gesi cha muhimu mkazane na elimu maana nanyie mpo ukanda ule ule kama wetu wanyamwezi wa kuathiriwa na tamaduni za kiarabu!
suala siyo gesi peke yake, rasilimali nchi hii zipo nyingi kama dhahabu, almasi,rubby, tanzanite, uranium makaa ya mawe n.k.kote huko madini yanachimbwa na faida inakuwa ni kwa nchi nzima. Leo hii gesi imepatikana mtwara kwanini itungwe sheria ya kuwanufaisha watu wa mtwara kwanza ndio watanzania wengine wafikiriwe?mbona almasi ya shinyanga tume faidi nchi nzima huku wenyewe hata maji safi hawana? Dhahabu ya geita je? Kodi inakusanywa na kugawiwa kwa watanzania wote bila wao kulalamika kuwa faida ibaki kwao?kama sera yetu ni centralized taxi collection, basi na iwe hivyo kwa rasilimali zote bila ubaguzi.
Ccm habari hii iwakae sana akilini,na mkae mkijua ya kwamba suala la kuitoa gesi mtwara na kuihamishia sehemu zingne kutaathiri moja kwa moja maendeleo ya mkoa huo,,
kuna mpango ushaandaliwa wa kikwete kutaka kuipeleka gesi hii bagamoyo ili awalipe fadhila watu wa kwao pindi atapoondoka madarakani,,
suala hili halitavumilika hata kidogo,zipo juhudi za wanaharakati wa asasi zisizo za kiserikali zinafanywa kuupinga mpango hadi bungeni,,
gesi hii ingekua imegundulika arusha ccm ingethubutu kujenga bomba kuitoa arusha kuipeleka bagamoyo??ingethubutu??
Sasa kwa mtaji huu mmechokoza vita vingine,,ikibid hata msituni tutaingia,hata kujitenga tutajitenga,,
tuachieni gesi yetu tunufaike nayo,hatujakataa kugawa nishati kutokea mtwara kwenda sehemu zingne,tunachotaka ni uwepo wa gesi kanda ile ili kuwepo na ujenzi wa miundombinu,viwanda na kuongezeka kwa ajira za wananchi wa kanda ile
tutapigana sana katika hili