CCM, gesi haiondoki Mtwara piga ua

CCM, gesi haiondoki Mtwara piga ua

Alhamdulillahi! Leo ndugu zetu wa Tanganyika wamefahamu kilio cha Wanzibari kutaka kuondoa Gesi na Mafuta kwenye oradha ya mambo ya ,muungano.
 
nimemweleza mtoa mada hali halisi ilivo sasa
hebu soma tena na tena utanielewa
mwishoni umemalizia vema kuwa rasilimali zinufaishe watu wote
kwa hali halisi haiko hivo wenye rasilimali hawafaidiki nazo kwa sasa
kinachotakiwa ni sheria madhubuti.

labda nkuulize kwanini JK afungue mradi wa kuzalisha umeme dar na
sio kujengwa Mtwara wakasafirisha huo umeme kuja dar na mikoa mingineyo.
naunga mkono hoja za mtoa mada lakini tatizo kubwa ni siasa za chama chetu
ufisadi na uelewa mdogo wa viongozi kuhusu matumizi ya rasilimali zetu kwa manufaa yetu.

what we need now is a good and comprehensive petroleum and gas
Act,separate petroleum and gas Tax Act itakayoamua viwango vya kodi
itakayotozwa kwenye production of gass kama 50% au zaidi
na wananchi wapewe kipaumbele katika ajira kwenye hizo blocks cha
kushangaza 90% ni watu wa nje hata wanatoa huduma za vyakula huko.
peoples participation katika kuamua matumizi ya rasilimali zao, kuwe
na transparency katika tenda zinazotolewa nk

kuhusu wapi pa kujengwa processing industry ni uamuzi wa mwekezaji kulingana na matarajio yake
mwekezaji anaweza kufanya field development , akaweka
pipelines zake na akaamua wapi ajenge processing industry
ambako ataona kuna reliable and easy transport ya hiyo gesi yake,
market,availability of social services kwa wafanyakazi wake
nk, na pia garama ya maisha nk
kwa hivo sio ishu ya wananchi kuamua wapi pajengwe its an investor

endeleeni kuchagua CCM labda mtapata maendeleo zaidi na zaidi
 
Nangu nguona kukotopala sana na kukaya kwangu....

Vanitudharau sana avano na nelo vavemkwida haaaaaa....


Kwishney!!

Gesi haitoki, tunalipua mabomba
 
Weee Kikwete! jiangalie sana...tena jiangalie, mwenzako che Nkapa kaondoka madarakan lakin jina lake lipo ktk mioyo ya watu wa kusin kwa uzur sasa kama ulikuw huwajui watu wa kusin wakoje...! jaribu kutorosha utajir wetu then uone kitakachotokea!
 
Si nilisikia eti Mtwara kuvuta umeme ni Tsh 96,000/= tu, pia eti wale wakazi wa karibu na msimbati kule kwenye visima vya gesi wataunganishiwa umeme bure na pia chuo cha veta mtwara kianze kutoa kozi zinazohusiana na oil exploration kumbe zote hizo zilikuwa ni fiksi?
 
sio muumini wa siasa suala la ges kuhamishwa na kupeleka sehemu nyingine kwani hiyo miundo mbinu huko mtwara haiwezi jengwa hii nchi ipo dar tu hebu wanamtwara fungukeni mlilie chenu mtakaa na korosho mpaka lini
 
Nangu nguona kukotopala sana na kukaya kwangu....

Vanitudharau sana avano na nelo vavemkwida haaaaaa....


Kwishney!!

Gesi haitoki, tunalipua mabomba
 
si nilisikia eti mtwara kuvuta umeme ni tsh 96,000/= tu, pia eti wale wakazi wa karibu na msimbati kule kwenye visima vya gesi wataunganishiwa umeme bure na pia chuo cha veta mtwara kianze kutoa kozi zinazohusiana na oil exploration kumbe zote hizo zilikuwa ni fiksi?



kikwete na ccm yake wanadhani ya kwamba sisi tumesahau hizo ahadi zao,tunafatilia hata kama tupo mbali,tunakwenda kwetu na tunajua kila kinachojiri

ikibidi hata kujitenga tutajitenga tuh,,uasi unaanza hivi hivi,,nadhan hawawajui wamakonde,,
wakaulize tandahimba polisi wao walifanywa nin,labda mlete jwtz lakin mesegi wataipata tuh

tushachoka na fiksi zao
 
nangu nguona kukotopala sana na kukaya kwangu....

Vanitudharau sana avano na nelo vavemkwida haaaaaa....


Kwishney!!

Gesi haitoki, tunalipua mabomba

mambulunga chihii,vakave na chinu,,

nkanya piii...!!
Hambi tunalola,vatundolee wetu mmangw'anyu eeeeh??

They must be out of their mind..!!
 
kikwete na ccm yake wanadhani ya kwamba sisi tumesahau hizo ahadi zao,tunafatilia hata kama tupo mbali,tunakwenda kwetu na tunajua kila kinachojiri

ikibidi hata kujitenga tutajitenga tuh,,uasi unaanza hivi hivi,,nadhan hawawajui wamakonde,,
wakaulize tandahimba polisi wao walifanywa nin,labda mlete jwtz lakin mesegi wataipata tuh

tushachoka na fiksi zao


Watani wangu wala msiwe na wasiwasi mtafaidika tu na gesi cha muhimu mkazane na elimu maana nanyie mpo ukanda ule ule kama wetu wanyamwezi wa kuathiriwa na tamaduni za kiarabu!
 
weee kikwete! Jiangalie sana...tena jiangalie, mwenzako che nkapa kaondoka madarakan lakin jina lake lipo ktk mioyo ya watu wa kusin kwa uzur sasa kama ulikuw huwajui watu wa kusin wakoje...! Jaribu kutorosha utajir wetu then uone kitakachotokea!



****** nadhani kaamua kutingisha kibiriti kuhusu hilo,,

sasa asiwe na shaka,,tunaanza na hawa vibaraka wake mkuchika na hawa ghasia,,cha moto watakiona,,mkuchika newala unapigwa chini,,na hawa ghasia naskia una plan ya kuhama mtwara vijijini uende mtwara mjini kugombea ubunge 2015,,mnadhan kwenye ile zomea zomea meseji umeipata,,sasa jaribu uone aibu yenyewe,,2015 chadema au cuf yyte yule ataeonesha nia ya dhati kwa kuifadhi na kuipigania gesi yetu anaungwa mkono
 
watani wangu wala msiwe na wasiwasi mtafaidika tu na gesi cha muhimu mkazane na elimu maana nanyie mpo ukanda ule ule kama wetu wanyamwezi wa kuathiriwa na tamaduni za kiarabu!

sawa sawa,ktk hilo halina ubishi,,,ni kweli kielimu tupo nyuma sana ukifananisha na wenzetu,lakini miaka hii ya karibuni tumehamasishana na kutoana ujinga vya kutosha tuh,vyuo vikuu vipo huku pia,ipo saut,tia,chuo cha utumishi wa umma n,k,ujinga unaondoka kwa kasi ya juu na watu wanajitambua sana

ccm wanadhani watu wamelala bado,wanakosea sana,na tutawafundisha adabu
 
suala siyo gesi peke yake, rasilimali nchi hii zipo nyingi kama DHAHABU, ALMASI,RUBBY, TANZANITE, URANIUM MAKAA YA MAWE N.K.Kote huko madini yanachimbwa na faida inakuwa ni kwa nchi nzima. leo hii gesi imepatikana Mtwara kwanini itungwe sheria ya kuwanufaisha watu wa mtwara kwanza ndio watanzania wengine wafikiriwe?mbona almasi ya shinyanga tume faidi nchi nzima huku wenyewe hata maji safi hawana? dhahabu ya GEITA je? kodi inakusanywa na kugawiwa kwa watanzania wote bila wao kulalamika kuwa faida ibaki kwao?kama sera yetu ni centralized taxi collection, basi na iwe hivyo kwa rasilimali zote bila ubaguzi.
 
suala siyo gesi peke yake, rasilimali nchi hii zipo nyingi kama dhahabu, almasi,rubby, tanzanite, uranium makaa ya mawe n.k.kote huko madini yanachimbwa na faida inakuwa ni kwa nchi nzima. Leo hii gesi imepatikana mtwara kwanini itungwe sheria ya kuwanufaisha watu wa mtwara kwanza ndio watanzania wengine wafikiriwe?mbona almasi ya shinyanga tume faidi nchi nzima huku wenyewe hata maji safi hawana? Dhahabu ya geita je? Kodi inakusanywa na kugawiwa kwa watanzania wote bila wao kulalamika kuwa faida ibaki kwao?kama sera yetu ni centralized taxi collection, basi na iwe hivyo kwa rasilimali zote bila ubaguzi.



sawa umeongea vyema na nakubaliana nawewe kwa asilimia zote

sasa hoja zako zinahusiana vipi na suala la kuihamisha gesi hii tena ikiwa ghafi na kuipeleke sehemu nyingne tena kwa gharama za juu zaidi kuliko gharama ambazo zingetumika kuiprocess hii gesi eneo husika ilipopatikana ili kuwanufaisha watanzania wote kwa kuanzia na hawa wa eneo husika??hakuna aliepinga kushare manufaa ya gesi hii ndugu
kuna wizi na ujanja ujanja unataka kufanyika katika hili,wananchi na asasi zisizo za kiserikali wameshastukia jambo hilo
 
pole pole jamani, hata Sudan na S.Sudan zilianza hivihivi, wale wa kaskazini walijiona wao ndio wenye nguvu, serikali na kustahili kila raslimali ya nchi, huku wa kusini kwenye uzalishaji mwingi wa mafuta wakiachwa na kuteswa vibaya, kuuliwa na kila ubaya, na hii ni kutokana na kutumia madaraka vibaya.
 
Ccm habari hii iwakae sana akilini,na mkae mkijua ya kwamba suala la kuitoa gesi mtwara na kuihamishia sehemu zingne kutaathiri moja kwa moja maendeleo ya mkoa huo,,

kuna mpango ushaandaliwa wa kikwete kutaka kuipeleka gesi hii bagamoyo ili awalipe fadhila watu wa kwao pindi atapoondoka madarakani,,

suala hili halitavumilika hata kidogo,zipo juhudi za wanaharakati wa asasi zisizo za kiserikali zinafanywa kuupinga mpango hadi bungeni,,

gesi hii ingekua imegundulika arusha ccm ingethubutu kujenga bomba kuitoa arusha kuipeleka bagamoyo??ingethubutu??

Sasa kwa mtaji huu mmechokoza vita vingine,,ikibid hata msituni tutaingia,hata kujitenga tutajitenga,,


tuachieni gesi yetu tunufaike nayo,hatujakataa kugawa nishati kutokea mtwara kwenda sehemu zingne,tunachotaka ni uwepo wa gesi kanda ile ili kuwepo na ujenzi wa miundombinu,viwanda na kuongezeka kwa ajira za wananchi wa kanda ile

tutapigana sana katika hili

ken-saro-wiwa.jpg
 
Back
Top Bottom