CCM, gesi haiondoki Mtwara piga ua

Mkuu i was there katika msafara wa waziri wa nishati kule kijijini nafikiri ilikuwa aruond june this year na hii dhana mbona kama ilikuwa na mashiko sana kwa wanamtwara anyway na nasikia wananchi wameshalipwa fidia katika maeneo yote gesi itakapopita, kama wameweza kuchukua fidi, sasambona sasa ni kama too late??
 
 



thank you so much & receive my appriciations,,
kikubwa tunacholilia wana mtwara sio kuikumbatia gesi hiyo kwa ubinafsi na wenzetu wa sehemu zingne wasinufaike na rasilimali hii,la hasha,tunacholilia ni kwa serikali kuweka mipango mtambuka ambayo itaifanya mtwara kama mtwara iwe ni kitovu mama kwa upatikanaji wa gesi yenyewe ili kuvutia wawekezaji na ujenz wa viwanda vitavoinua maisha ya wana mtwara na kanda hii kwa ujula,kuimarika kwa miundombinu na kupunguza umaskin kwa kasi,,hicho ndicho kilio chetu,ila sasa serikali imeliacha hilo,,pia kuhusu viwanda mambo yanaenda,kuna tajiri mmoja wa nigeria anaitwa dangote kaja kuwekeza kwenye kiwanda cha cement,ndio mwanzo huo tunaoutaka
 
kwa jinsi matatizo yalivyo mengi tanzania hii, ukianza kulichambua tatizo moja moja on top of the problem chain utakuta kimekaa kitu kinaitwa CCM, Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana wa kuyaondoa matatizo mengi sana kama utaiondoa CCM, Otherwise logic inatuambia tukianza kudeal na tatizo moja moja huku CCM ipo madarakani inaweza kutuchukua miaka 200 kurekebisha hali.
 



ni kweli mkuu

kwa kiasi kikubwa,ccm ni kikwazo

tena sana
 
ni kweli mkuu

kwa kiasi kikubwa,ccm ni kikwazo

tena sana
Kumbuka Mtwara, Lindi, Tabora, Tanga na Pwani ndio firewall ya CCM. Uchaguzi ukija Mtwara ndio kinara wa CCM. Mtaendelea kuwa na gesi na hamtofaidika nayo kama Tabora na dhahabu yao
 
kumbuka mtwara, lindi, tabora, tanga na pwani ndio firewall ya ccm. Uchaguzi ukija mtwara ndio kinara wa ccm. Mtaendelea kuwa na gesi na hamtofaidika nayo kama tabora na dhahabu yao


uko sahihi

sometimes ni upumbavu wetu na ufala wetu,,

yani kama tumerogwa vile
 
uko sahihi

sometimes ni upumbavu wetu na ufala wetu,,

yani kama tumerogwa vile

Mkuu le big show, kwa kuwa hizi harakati za kubakiza gas mtwara zinaonyesha zina mwitikio mzuri kwa wananchi wa kawaida huko, na wameweza kumeza hicho kidonge, siyo vibaya mkawaambia kuwa tiba kamili inabidi wameze na kidonge kingine ambacho ni kuwaelimisha uhusiano uliopo kati ya umasikini+ujinga wao na serikali iliyopo madarakani hence waiondoe CCM as the mother of all problem.
 



hiyo kazi inafanyika sana

kuna timu ya asasi zisizo za kiserikali tuliziunganisha nguvu kutoka dsm kuja huku mtwara na kufanya mkutano nawanchi maeneo ya mtwara mjin,na mwitikio na mzuri,kulikua na waandishi wa habari na taarifa za maoni za wananchi zimechukuliwa,zitapelekwa ofisi ya bunge kabla ya kuanza kwa mkutano wa bunge utaojadili muswada wa sheria hii ya gesi,,haki lazima ipiganiwe mkuu
 

kamanda nakuunga mkono mia mia! wakati ndiyo huu sasa na sisi tuanze kuonekana na tuzikomboe familia zetu na mazingira duni..hata kama kwa kujitenga poa tu, niliwahi kuuliza ni kwa nini serikali imekimbilia kujenga miundo mbinu maeneo mengine na kutuacha sisi huku mtwara pamoja na rasilimali tulizonazo? huko kilimanjaro kuna barabara za kata zina lami na hakuna mapato yoyote yale yanayopatikana kutokana na barabara hizo.mfano! barabara yakutoka rau hadi uru ina lami, barabara ya kibosho huko ndani ndani ina lami. ukianzia kwasadala hadi masama bado kidogo lami itakamilika..hizo na nyinginezo hazina faida yoyote kwa taifa hili, wanajengewa kisa tu mlima kilimanjaro!! turudi kwangu mtwara hivi ukiacha barabara ya mtwara hadi masasi kuna barabara nyingine yoyote inayounganisha wilaya yenye lami? je, ni mapato kiasi gani serikali inayapata kwenye korosho? Jamani Wanamtwara tuinuke tuseme sasa tosha tusikubali tena rasilimali gesi iliyopatikana kwetu iondoke na kutuacha maskini.
 



kweli mkuu,,
na kuna watu baaadhi wanapinga na kusema pato hili ni letu sote kwaiyo ni lazima tutumie sote,hakuna anaekataa kushare gesi hii kitaifa,hoja iliyopo ni kuitumia ipasavyo kwa manufaa ya wote na wa kupewa kipaombele ni wahusika wa kanda hii,sasa wahusika wenyewe hawajaoneshwa ni vipi watanufaika nayo ccm na serikali yao wanaihamisha tena bila hata maelezo ya ufafanuzi kwa wananchi wa huku
 

wanatuddanganya na bonus ya umeme, kuna ofa huku isiyokuwa na mashiko...

eti kupata umeme sasa kwa mtwara ni sh.99000

masharti ni usiwe mbali na nguzo..mita 30!! jamani mambo mengine ni aibu kabisa.
 

kwa sasa inabidi tupambane..si kwa kuandika hapa tu hata kuwapa wananchi maarifa na waelewe ni nini cha kufanya..
mkuu bonus ya umeme huku umeisikia? yaani ni kuwaadaa tu wananchi....
 
kwa sasa inabidi tupambane..si kwa kuandika hapa tu hata kuwapa wananchi maarifa na waelewe ni nini cha kufanya..
mkuu bonus ya umeme huku umeisikia? yaani ni kuwaadaa tu wananchi....


hadaaa hii imeshagonga mwamba

nimeskia hizo taarifa,aibu inawafuata ccm
 
The Big show nakupongeza kwa kuendesha harakati kwenye mtandao wa jamii, jitahidi kusambaza elimu hii iwafikie wananchi waliowengi huko, si rahisi kwako kuwafikia wote, ila unaweza kuwapata watu wachache wenye ushawishi wasambaze harakati hizi kwa wengine
 



thanks mkuu,tunaungana na wanaharakati wengine katika juhudi zao mbali mbali kujenga msimamo na uelewa dhidi ya dhulma hii ya ccm dhidi ya kanda ya kusini,kusini imekosa wabunge wenye uchungu na kusini yao,watu kama mkuchika na hawa ghasia wamekua vibaraka wa kikwete na kuisahau kabisa kabisa asili yao,,hali hii itawatokea puani,,hili litawasumbua sana
 
hadaaa hii imeshagonga mwamba

nimeskia hizo taarifa,aibu inawafuata ccm

inabidi tuwapinge kwa nguvu zote
sisi vijiji vyetu viko mbali kabisa na hizo nguzo za umeme
bonus wanayotoa haiwezi kabisa kuwanufaisha wananchi waliopo mbali na hizo nguzo..
hata wale waliopo karibu bado kuna tatizo..
ni miaka kadhaa sasa vijiji vingi vimepitiwa na mtandao wa nguzo za umeme lakini havina umeme!
sisi huku hadi sera ya umeme haina mashiko yoyote yale. haitekelezwi huku kwetu!
safari hii hatukubali hata kidogo..
serikali ya ccm ndiyo chanzo cha maendeleo duni kusini..
TUMEWACHOKA!!

sasa tunahitaji elimu bora, afya bora,miundo mbinu mizuri ya maji na barabara n.k!
 

Sidhani kama sahihi kumpa mtu first priority ambaye hayuko tayari hata kulipia huo umeme. Nadhani kwa principle za biashara bidhaa huwa zinakwenda katika sehemu yenye soko. Kwa maana hiyo automatically kama zaidi ya 80%ya makusanyo ya TRA kwa nchi nzima yanatoka DSM it's obvious kwamba DSM ndio sehemu yenye soko kubwa kwa bidhaa yoyoyte. Kuifanya Mtwara kuwa kama DSM ni suala la kimkikakati ambalo linahitaji muda na sio kwa gesi iliyopatikana hv sasa kuna factors nyingi, DSM haikufika hapa ilipo kwa kigezo kimoja, angalia bandali, viwanja vya ndege, ofisi za serikali na mawizara, angalia viwanda, wakazi wake, elimu na mambo mengine kibao. Nadhani Mtwara bado inatakiwa kupita katika safari ndefu sana. Ukiiangalia ndo kwanza imefunguka kwa barabara kutoka DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…