MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Rais Samia na Mwenyekiti Taifa CCM endelea tu Kumlea Askofu Gwajima ( Manara wa Kisiasa ) ili awachafue na awavurugeni vizuri.
Na nikusaidie tu Rais Samia kuwa Askofu Gwajima Wala hakupendi na hakukubali na hizo Sifa anazokupa ni za Kinafiki na anakudharau mno.
Kama kuna Sumu kubwa, mbaya na ya Hatari ambayo CCM yako si tu mmeilea bali pia mmeikumbatia ni ya Kumuamini na kukubali Askofu Gwajima awe Mbunge na mwana CCM wakati wanaomjua wanajua kuwa hajawahi na siyo mwana CCM Moyoni na Rohoni pia.
Kitendo tu cha kusema kuwa kuna Viongozi wakubwa nchini Wamehongwa juu ya Chanjo ya UVIKO-19 akimaanisha Wewe Rais Samia na Waziri Gwajima kilitosha Kumfukuza CCM na hata Kuamuru akamatwe kwani Kauli yake ni ya kuhatarisha Usalama wa nchi ila bado mnamlea tu.
Rais Samia kuwa Ngangari wasikuzoee Mama. Hayati alikuwa ana Msimamo na tulimpenda kwa hiyo tabia na alitunyoosha vile vile hadi wengine sasa tumeshika Adabu zetu na tunajua kuishi Kiuhalisia tofauti na hapo awali ambapo tuliishi Kiujanja Ujanja ( Kipanjuani Panjuani ) tu.
Rais Samia toa Demo moja tu uogopwe.