Uchaguzi 2020 CCM haikupaswa kutumia nguvu nyingi kupambana na CHADEMA

Wananchi wanafanya tathimini ya chama kilichopo madarakani kimewafanyia nini, kisha wanatoa majibu...
Kama nilishawahi kusoma propaganda za kipuuzi hapa JF ...hii post inaweza kuwa namba moja.....na mtu yeyote anayeandika upuuzi basi naye huwa mpuuzi ,ufahamu wake nao huwa wa kipuuzi na akili zake pia huwa za kipuuzi....na kama katumwa na waliomtuma nao ni wapuuzi wakubwa
 
S
Ndo mjiulize vizuri! Kama Chadema si lolote si chochote kwa nini mnatumia fedha nyingi, polisi, NEC kupambana nacho? Si mlisema kimekufa? Sasa shida ni nini?
Ushindi wa CCM una uhakika. Kinachofanyika sasa ni kutafuta ushindi wa kishindo cha kihistoria.
Kabisa ushindi ni wa uhakika refa kachaguliwa na mgombea wa Ccm wasimamizi pia ni makada wa CCM. Timu nyingine zimezuiwa kufanya mazoezi ya kujiandaa na mechi. Sham election
 
Mwenyekiti wako wa CCM anayepiga magoti kuomba kura akisoma huu uzi wako atakuzaba makofi mpaka utapike buku 7 uliyokula.
Kupiga magoti ni utamaduni wa watu wa Njombe kuonyesha unyenyekevu.
Alafu tumia akili nani amenipa buku 7?
 
Lazma wapambane wakiondoka madarakani watakula wapi na wengi wao wamekimbia njaa huko ktk ajira zao za awali. Siasa ni ajira ati. Wasipombana na chadema na ACT wapambane na TLP, UDP na TADEA??😂😂😂😂
 
Kupiga magoti ni utamaduni wa watu wa Njombe kuonyesha unyenyekevu.
Alafu tumia akili nani amenipa buku 7?
Hapana kwa kweli ni wazi Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda hadi mmepiga magoti kuomba pooo 🤣
 
Ahaaa,tofautisha propganda na ukweli. Yaaani hii Chadema ndio ilikuwa ya kushughulikiwa hivi?
,
 
Katika upimaji huo mnaondoshwa peeked na maneno Uhuru,haki na maendeleo ,achilia mbali mengine mengi mliyo vurunda.
 
Swali gani hili? Kama amedanganywa kwenye makaratasi utasema yupo sawa!
Swali gani hili? Nigga pls.
Unasema CAG anadanganywa na makaratasi.
Ndio maana nimekuuliza ww na CAG aliepewa mamlaka ya ukaguzi... nani yuko right?

Unless na ww umefanya ukaguzi wako.. utwekee matokeo hapa.
With evidence.. sio blah blah
 
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi.

Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.
Kweli ushindi wa kishindo na kihistoria! Na Yale magoti anayopiga kwenye majukwaa ni ya kuomba msaada wa pesa?
Lumumba fc kubalini ukweli kuwa mgombea wenu hauziki na Hakubaliki kwasababu ya dharau zake! Acheni kujitengenezea ushindi usiokuwepo!
 
Dalili za chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya hoja. Idadi ya wazee wanapungua huku vijana wakiongezeka ambao ndio wanachama wa cdm
 
Tutawashinda ccm pasipokuwa na fedha wala ofisi zozote.
 
Katika upimaji huo mnaondoshwa peeked na maneno Uhuru,haki na maendeleo ,achilia mbali mengine mengi mliyo vurunda.
Kama uhuru na haki, ungepata nafasi ya kuchangia humu?
 
Ccm inashindana na wananchi na sio chadema pekee. Kumbuka ilipewa ridhaa miaka yote lakini mpaka leo bado inarudi kwa kulialia kwa wananchi waliowapa nafasi. Huo ni utoto na watu wameshapevuka.

Tunabadiri gia litakalokua na liwe. Hii hali hatuwezi kuivumilia kwa miaka mingine mitano. Tutaua ndoto za watoto wetu
 
.naona ccm imekataliwa hadi na wanyama , sembuse raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…