stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Ushindi wa CCM una uhakika. Kinachofanyika sasa ni kutafuta ushindi wa kishindo cha kihistoria.
huu uchaguzi ni wa muhimu sana aisee, tuna jambo letu kwenye katiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wa CCM una uhakika. Kinachofanyika sasa ni kutafuta ushindi wa kishindo cha kihistoria.
Mkuu chadema walipinga meli zisinunuliwe ziwa nyasa? Ninavyofahamu mimi kila anaepinga jambo anatoa na mbadala wake. Pia kama ccm imefanya yote hayo kuna haja gani ya kuwaambia watu kuwa umefanya si wananchi wanaona wenyewe.Wananchi wanafanya tathmini ya chama kilichopo madarakani kimewafanyia nini, kisha wanatoa majibu.
Wananchi wanafanya tathmini ya chama kinachoomba ridhaa ya kukamata Dola, je kina uwezo huo? Kisha wanatoa majibu.
Kwa maoni yangu, CHADEMA ilishadharauliwa na wananchi kwa kuwa na itikadi ya kupinga maendeleo ya wananchi, wao wanapinga kila kitu, mfano kwa wakazi wa ziwa Nyasa nani atachagua mgombea wa CHADEMA ambae ujenzi wa meli mbili za abiria na mizigo umekuja kuwa mkombozi kwa watu wa eneo hilo?
Kutumia nguvu nyingi na kutumia pesa nyingi kupambana na chama ambacho hakina sifa ya kutawala na kuwaletea maendeleo wananchi ni sawa na kumuua Ngedere kwa SMG.
Kama chama kinakuwa na viongozi ambao walikuwa wanatafuna ruzuku kama vile pesa zao, wakati ni mali ya umma. Je, kulikuwa na haja ya kupambana nacho kwa nguvu kama inayotumika sasa? Hawa walitakiwa waachiwe makatibu wa Ccm wa kata wapambane nao kuliko kutumia nguvu kama ilivyofanyika.
View attachment 1589746
Shida yao wanataka na wapinzani wasifu na kuabudu hayo wanayoyafanya ilihali wakijua ni utopolo tu waliofanyaMkuu chadema walipinga meli zisinunuliwe ziwa nyasa? Ninavyofahamu mimi kila anaepinga jambo anatoa na mbadala wake. Pia kama ccm imefanya yote hayo kuna haja gani ya kuwaambia watu kuwa umefanya si wananchi wanaona wenyewe.
[emoji1][emoji1] kwa kupiga magoti!We unaona anahangaika? Au anafanya presentation ya nini atafanya.
[emoji1][emoji1] kwa kupiga magoti!Ni heshima kupita kuwasalimu kila jimbo
Ndio maana anafanya mkutano kwa pos bila mihemuko km yule msaliti wa Nchi
Ukipata muda naomba ujisaidie kujijibuWe unaona anahangaika? Au anafanya presentation ya nini atafanya.
Sio kwa Chadema hii,Lissu hata kura laki mbili hapati.Cha ajabu Hugo jiwe mwenyewe anajua wakati mgumu anaoupitia lakni nyie mazumbukuku ndo mnasema ushindi wa kishindo
Kwa taarifa yenu jiwe mwenyewe anategemea dola ili ashinde make anaona kila dalili ya kushindwa kwa mbali sana na TAL
Hujaitendea haki buku 7 ya lumumbaHuna hoja za msingi unaleta hasira.
Heshima kwa kupiga magoti!? Toka lini mwanaume wa kisukuma akapiga Magoti?Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi.
Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.
Mbuzi wamekula mabango yenuUmekosa hoja,subiri tar 28 maumivu.
Ningekuwa polopole nisingekulipa chochote zaidi ya kukuzaba makofi kwa kudhalilisha chama kwa huu utopolo huku mwenyekiti akipiga Magoti kuomba kuraUmekosa hoja,subiri tar 28 maumivu.
Muulize Mahera atakupa jibu.Kwa akili yako kipo hai?
Majaliwa si anatosha, 'wenge' la nini sasa?We unaona anahangaika? Au anafanya presentation ya nini atafanya.
Punguza shobo kwa wanasiasaMtu mwenye akili unapost upuuzi, chama chako kitakuw kiko sawa?