kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Bila Shaka miaka yako ni 60+Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania tutakuchagua kwa 98%
Mpeni salamu msaliti wa Nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila Shaka miaka yako ni 60+Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania tutakuchagua kwa 98%
Mpeni salamu msaliti wa Nchi
Umeona ulivyo mjinga! Hapa Mama anaingiaje ?Kama wewe na mama yako mnvyopigwa.
Mimi nafaidik na maendeleo yanayoletwa.
Hao wa kusombwa na matrekta na malori ya vifusi au wananchi wepi wengine?Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 98%
Kwa akili yako unafikiri wanaotumia pesa nyingi kupambana na chadema ni wajinga? Wamefanya tathmini ya kutosha na kuona mziki wa chadema si wa kitotoWananchi wanafanya tathmini ya chama kilichopo madarakani kimewafanyia nini, kisha wanatoa majibu.
Wananchi wanafanya tathmini ya chama kinachoomba ridhaa ya kukamata Dola, je kina uwezo huo? Kisha wanatoa majibu.
Kwa maoni yangu, CHADEMA ilishadharauliwa na wananchi kwa kuwa na itikadi ya kupinga maendeleo ya wananchi, wao wanapinga kila kitu, mfano kwa wakazi wa ziwa Nyasa nani atachagua mgombea wa CHADEMA ambae ujenzi wa meli mbili za abiria na mizigo umekuja kuwa mkombozi kwa watu wa eneo hilo?
Kutumia nguvu nyingi na kutumia pesa nyingi kupambana na chama ambacho hakina sifa ya kutawala na kuwaletea maendeleo wananchi ni sawa na kumuua Ngedere kwa SMG.
Kama chama kinakuwa na viongozi ambao walikuwa wanatafuna ruzuku kama vile pesa zao, wakati ni mali ya umma. Je, kulikuwa na haja ya kupambana nacho kwa nguvu kama inayotumika sasa? Hawa walitakiwa waachiwe makatibu wa Ccm wa kata wapambane nao kuliko kutumia nguvu kama ilivyofanyika.
Naona umepanic unatukana . Kwanza calm down. Haalf tueleze hiyo siri nzito ambayo ina m discredit CAG na kazi zake.Aliyekuwa mjumbe wa Cc,alitoa siri nzito ambayo mpuuzi kama wewe huwezi kuifahamu.
Sijakuelewa hata ulichoandika au umetumia lugha ya lumumba?Sio kweli, hata mikutano ya wabunge na madiwani haifanyiki,bado siku 23.
Kwa akili yako kipo hai?
Hizo document zinazoonyesha kuwa mbowe amekwapua bil 8 ziko wapi ? Na uchunguzi ulifanywa na nani?Circumstantial evidence,Mbowe amekwapua zaidi ya bil 8.