Uchaguzi 2020 CCM haikupaswa kutumia nguvu nyingi kupambana na CHADEMA

Cha ajabu Hugo jiwe mwenyewe anajua wakati mgumu anaoupitia lakni nyie mazumbukuku ndo mnasema ushindi wa kishindo
Kwa taarifa yenu jiwe mwenyewe anategemea dola ili ashinde make anaona kila dalili ya kushindwa kwa mbali sana na TAL
 
Mkuu chadema walipinga meli zisinunuliwe ziwa nyasa? Ninavyofahamu mimi kila anaepinga jambo anatoa na mbadala wake. Pia kama ccm imefanya yote hayo kuna haja gani ya kuwaambia watu kuwa umefanya si wananchi wanaona wenyewe.
 
Shida yao wanataka na wapinzani wasifu na kuabudu hayo wanayoyafanya ilihali wakijua ni utopolo tu waliofanya
 
Ingizo la hovyo kabisa CCM 2020. Wewe hata kukulipa bk 3 ni kukupendelea.
 
Cha ajabu Hugo jiwe mwenyewe anajua wakati mgumu anaoupitia lakni nyie mazumbukuku ndo mnasema ushindi wa kishindo
Kwa taarifa yenu jiwe mwenyewe anategemea dola ili ashinde make anaona kila dalili ya kushindwa kwa mbali sana na TAL
Sio kwa Chadema hii,Lissu hata kura laki mbili hapati.
 
H
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi.

Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.
Heshima kwa kupiga magoti!? Toka lini mwanaume wa kisukuma akapiga Magoti?
Lisu anawasulubu ccm hadi jiwe kaomba msaada kwa time+ msajili + policcm
 
Mtu mwenye akili unapost upuuzi, chama chako kitakuw kiko sawa?
Punguza shobo kwa wanasiasa
Fanya kazi mkuu
Wale wapo kazini
Familia yako itafaidika na Nini magu akipata urais?
Mwisho wa siku watakupiga p***bu nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…