CCM haina Mwenyekiti wala Katibu Mkuu, hivi sasa inaendeshwa na Dola

Tatizo msajili wa vyama vya siasa ni kada wa CCM
 

watajijua wenyewe sisi tuna mwenyekiti wa milele aikael mbowe matatizo kama haya hayawezi kutukuta
 
Kwa wanasiasa makini na wenye nia njema ya uongoz wa kwelii na wa utumishi kwa Watanzania hakutatokea fursa nyingine mzuri ya kuimaliza CCM kama kipindi cha sasa mpaka 2025.

Watakao thubutu na kiitumia legacy ya JPM ni positive ways watapata waungaji mkono idadi ya kutosha wa kuingusha na kuing'oa madarakani CCM 2025. Mbereko inayo ibeba CCM miaka nenda rudi itahamishiwa kwao sina shaka na hilo.
 
Acha ukilaza, CCM in makamu wa mkiti 2, naibu katibu wakuu 2, na wakurugenzi wa idara mbalimbali, then unasemaje haina uongozi kwa sasa? Watu kama nyinyi ni wa kupiga ban la milele
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Godbless Lema yuko ukimbizini Kanada nani anaendesha hiyo kanda ?
 
Wewe kakwambia wana akili kama siyo chawa tu!
You are absolutely stupid..hivi unathani nani mwenye uwezo wa kuitisha vikao vya chama ngazi ya kitaifa kwa sasa?na nani anaeweza kuandaa agenda za vikao kwa sasa!nani atakua mwenyekiti na katibu wa hivyo vikao?narudia tens kasome
 
You are absolutely stupid..hivi unathani nani mwenye uwezo wa kuitisha vikao vya chama ngazi ya kitaifa kwa sasa?na nani anaeweza kuandaa agenda za vikao kwa sasa!nani atakua mwenyekiti na katibu wa hivyo vikao?narudia tens kasome
Idiot! Hicho kichwa chako kina ubongo au kamasi? Unashindwa kujua CCM kumejaa majuha wasiojielewa zaidi ya kujikomba kusaka vyeo!
 
Kama hilo jina la avatar yako ndio unakotoka,unaibisha hilo eneo na watu wake.
 
Kamati kuu inaweza fukuza hata Mwenyekiti na katibu.

Mwenyekiti si ndio anapendekeza wajumbe wa kamati KUU? Is it practical that the same members can dethrone the chairman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…