“CCM haiwezi, CCM imeshindwa, CCM lazima iondoke”. Sawa, lakini mbadala wenu ni nini?

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
590
Reaction score
1,405
CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.
CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili. Tazameni jirani zetu Kenya vurugu kila uchaguzi, Sudan ni damu kila wiki, Congo ni vita milele.

Amani tuliyo nayo ni currency kubwa kuliko hizo sauti zenu za mitaani.Bila stability hakuna mwekezaji, hakuna utalii, hakuna future.
Wapinzani mnakuja na utopia fantasy za kuamsha asubuhi na kuikuta Tanzania imekuwa Switzerland. Hamtaki kukubali kwamba maendeleo ya kweli ni marathon, sio sprint. Mnashindwa hata kuandika blueprint ya bajeti na vyanzo vya mapato ila mna ndoto za kuifikisha Tanzania EU-level next year. Huo ni ushabiki sio siasa.

Kama mnapenda hii nchi kweli, basi mshirikiane kujenga msingi uliopo badala ya kupiga danadana “CCM out” wakati hamna alternative ya maana.
CCM sio malaika, lakini inapeleka stability, security, na framework ya muda mrefu. Bila hayo hata ndoto zenu za kuingia madarakani zingekuwa bure nani ataendesha taifa lililojaa vurugu?
Hivi hamuoni West yenyewe inaporomoka? Uchumi wao una collapse, deni la Marekani linavunja rekodi, EU inagawanyika kisiasa. Hawa ndio mnaowaza watawajenga? Sasa hivi dunia nzima inajifanyia self-reliance na CCM tayari imeanza kuweka Tanzania kwenye hiyo line.

Kwa hiyo ndugu zangu wapinzani, kabla ya kuropoka, kwanza leteni mpango halisi wa nchi. Reality ni hii: stability + discipline + long term planning = maendeleo. Na hilo mpaka sasa CCM bado ndio wana deliver zaidi.

Mnadhani kuwa wakali kwa maneno ni ujasiri kumbe ni upofu wa kisiasa. Tanzania ni kubwa kuliko hisia zenu.

CCM ndiyo imebeba hii nchi mgongoni kwa zaidi ya nusu karne bila kuivunja vipande vipande.
 
Tz hakuna Amani Bali kuna utulivu tu. Na kwa kawaida, utulivu muda wowote ule unaweza kufika ukomo na kutoweka.
 
Neno mbadala ni mtego wa majambazi ya demokrasia

Tumeungana kuikataa CCM na siyo Tanzania
 
Umeanza vizuri imemalizia hovyo....Ni LAZIMA na muda muafaka sasa CCM isepe.... ndiyo isepe kwanza then baadaye tutamchagua mmoja kati yetu awe Rais.

Watanzania mil 60 hatuwezi kukosa wa kuliongoza Taifa - kwanza TAL atosha 100%
 
Anayelinda amani ni ccm au desturi na tamaduni za watu wenyewe?watanzania kwa asili ya ni watu wa amani.unaweza ukakaa mahali popote tz bila ubaguz wowote na hyo ilikuwako kabla ya uhuru.ccm ndyo wachafuz wa amani pitia green guard yao
 
Mbadala wa CCM ni Chadema na baraza lake la mawaziri hili hapa,,,!
Heche waziri mkuu.
Sugu waziri wa michezo.🤣
Mnyika wizara ya Afya.
Boni Yai wizara ya mifugo😅

wizara nne tu tosha kabisa😎🤸🤸🤸
 
CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.
CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili. Tazameni jirani zetu Kenya vurugu kila uchaguzi, Sudan ni damu kila wiki, Congo ni vita milele.

Amani tuliyo nayo ni currency kubwa kuliko hizo sauti zenu za mitaani.Bila stability hakuna mwekezaji, hakuna utalii, hakuna future.
Wapinzani mnakuja na utopia fantasy za kuamsha asubuhi na kuikuta Tanzania imekuwa Switzerland. Hamtaki kukubali kwamba maendeleo ya kweli ni marathon, sio sprint. Mnashindwa hata kuandika blueprint ya bajeti na vyanzo vya mapato ila mna ndoto za kuifikisha Tanzania EU-level next year. Huo ni ushabiki sio siasa.

Kama mnapenda hii nchi kweli, basi mshirikiane kujenga msingi uliopo badala ya kupiga danadana “CCM out” wakati hamna alternative ya maana.
CCM sio malaika, lakini inapeleka stability, security, na framework ya muda mrefu. Bila hayo hata ndoto zenu za kuingia madarakani zingekuwa bure nani ataendesha taifa lililojaa vurugu?
Hivi hamuoni West yenyewe inaporomoka? Uchumi wao una collapse, deni la Marekani linavunja rekodi, EU inagawanyika kisiasa. Hawa ndio mnaowaza watawajenga? Sasa hivi dunia nzima inajifanyia self-reliance na CCM tayari imeanza kuweka Tanzania kwenye hiyo line.

Kwa hiyo ndugu zangu wapinzani, kabla ya kuropoka, kwanza leteni mpango halisi wa nchi. Reality ni hii: stability + discipline + long term planning = maendeleo. Na hilo mpaka sasa CCM bado ndio wana deliver zaidi.

Mnadhani kuwa wakali kwa maneno ni ujasiri kumbe ni upofu wa kisiasa. Tanzania ni kubwa kuliko hisia zenu.

CCM ndiyo imebeba hii nchi mgongoni kwa zaidi ya nusu karne bila kuivunja vipande vipande.
Hayo ni maoni yako na mtizano wako kimsingi Kuliko CCM Bora utawala wa Gavana wa Kikoloni au Bora Jeshi liongoze
Kimsingi siichukii CCM nachukia matendo ya watu walio ndani ya CCM Kuna mwaka nlifanya kazi kwenye taasis Moja kwenye taasis ya Serikali nkasguhudia malipo ya Retainment ya zaidi ya Tsh 45 Milion zikilipwa kwa Afisa mmoja kama allowance ya Safari na ikumbukwe ni kipindi hiki cha huyu Mzanzibar wenu
Kama haitoshi CCM mmekuwa ndo chanzo cha matatizo yote wewe unayajua as long as Unaishi Tanzania siyo mmburundi Bora Kuongozwa na Jeshi au chama pinzani au mkoloni kuliko Ma CCM
 
Mbadala wa CCM ni Chadema na baraza lake la mawaziri hili hapa,,,!
Heche waziri mkuu.
Sugu waziri wa michezo.🤣
Mnyika wizara ya Afya.
Boni Yai wizara ya mifugo😅

wizara nne tu tosha kabisa😎🤸🤸🤸
Na hapo baraza linaishia kwenye wizara 4 tu zingine zote hakuna watu wa kujaza. 😂 Wizara ya Fedha? Hakuna. Elimu? Hakuna. Nishati na madini? Hakuna. Ulinzi na usalama? mkiulizwa “mbadala wa CCM ni nani?” hii ndio picha: Baraza la mawaziri la memes na vichekesho. Na nyie mnajidai mnabeba future ya taifa?
 
CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.
CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili. Tazameni jirani zetu Kenya vurugu kila uchaguzi, Sudan ni damu kila wiki, Congo ni vita milele.

Amani tuliyo nayo ni currency kubwa kuliko hizo sauti zenu za mitaani.Bila stability hakuna mwekezaji, hakuna utalii, hakuna future.
Wapinzani mnakuja na utopia fantasy za kuamsha asubuhi na kuikuta Tanzania imekuwa Switzerland. Hamtaki kukubali kwamba maendeleo ya kweli ni marathon, sio sprint. Mnashindwa hata kuandika blueprint ya bajeti na vyanzo vya mapato ila mna ndoto za kuifikisha Tanzania EU-level next year. Huo ni ushabiki sio siasa.

Kama mnapenda hii nchi kweli, basi mshirikiane kujenga msingi uliopo badala ya kupiga danadana “CCM out” wakati hamna alternative ya maana.
CCM sio malaika, lakini inapeleka stability, security, na framework ya muda mrefu. Bila hayo hata ndoto zenu za kuingia madarakani zingekuwa bure nani ataendesha taifa lililojaa vurugu?
Hivi hamuoni West yenyewe inaporomoka? Uchumi wao una collapse, deni la Marekani linavunja rekodi, EU inagawanyika kisiasa. Hawa ndio mnaowaza watawajenga? Sasa hivi dunia nzima inajifanyia self-reliance na CCM tayari imeanza kuweka Tanzania kwenye hiyo line.

Kwa hiyo ndugu zangu wapinzani, kabla ya kuropoka, kwanza leteni mpango halisi wa nchi. Reality ni hii: stability + discipline + long term planning = maendeleo. Na hilo mpaka sasa CCM bado ndio wana deliver zaidi.

Mnadhani kuwa wakali kwa maneno ni ujasiri kumbe ni upofu wa kisiasa. Tanzania ni kubwa kuliko hisia zenu.

CCM ndiyo imebeba hii nchi mgongoni kwa zaidi ya nusu karne bila kuivunja vipande vipande.
Mbadala unafahamika,usijitoe akili
 
Acha kukariri, watu wanaendesha makampuni makubwa yeye faida kubwa kuliko hizo collection zenu za TRA, tena kwa ufanisi mkubwa

Kuendesha nchi siyo lazima ujaze machawa milioni 10, watu watatu tu wanaendesha haka ka-nchi kaka kwa ufanisi na mnakua first world
 
Back
Top Bottom