Sawa sawa!Viazi kama nyie ni ignore tu 🚮
Tz hakuna Amani Bali kuna utulivu tu. Na kwa kawaida, utulivu muda wowote ule unaweza kufika ukomo na kutoweka.CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.
CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili. Tazameni jirani zetu Kenya vurugu kila uchaguzi, Sudan ni damu kila wiki, Congo ni vita milele.
Amani tuliyo nayo ni currency kubwa kuliko hizo sauti zenu za mitaani.Bila stability hakuna mwekezaji, hakuna utalii, hakuna future.
Wapinzani mnakuja na utopia fantasy za kuamsha asubuhi na kuikuta Tanzania imekuwa Switzerland. Hamtaki kukubali kwamba maendeleo ya kweli ni marathon, sio sprint. Mnashindwa hata kuandika blueprint ya bajeti na vyanzo vya mapato ila mna ndoto za kuifikisha Tanzania EU-level next year. Huo ni ushabiki sio siasa.
Kama mnapenda hii nchi kweli, basi mshirikiane kujenga msingi uliopo badala ya kupiga danadana “CCM out” wakati hamna alternative ya maana.
CCM sio malaika, lakini inapeleka stability, security, na framework ya muda mrefu. Bila hayo hata ndoto zenu za kuingia madarakani zingekuwa bure nani ataendesha taifa lililojaa vurugu?
Hivi hamuoni West yenyewe inaporomoka? Uchumi wao una collapse, deni la Marekani linavunja rekodi, EU inagawanyika kisiasa. Hawa ndio mnaowaza watawajenga? Sasa hivi dunia nzima inajifanyia self-reliance na CCM tayari imeanza kuweka Tanzania kwenye hiyo line.
Kwa hiyo ndugu zangu wapinzani, kabla ya kuropoka, kwanza leteni mpango halisi wa nchi. Reality ni hii: stability + discipline + long term planning = maendeleo. Na hilo mpaka sasa CCM bado ndio wana deliver zaidi.
Mnadhani kuwa wakali kwa maneno ni ujasiri kumbe ni upofu wa kisiasa. Tanzania ni kubwa kuliko hisia zenu.
CCM ndiyo imebeba hii nchi mgongoni kwa zaidi ya nusu karne bila kuivunja vipande vipande.
Yan hakuna haja ya kujadili jambo na goigoi kama hizi bwasheeSawa sawa!
Hujitambui, tungekuwa na serikali legelege leo tungekuwa na viinchi kadhaa, usione vyaelea ujue vimeundwaAmani inaletwa na chama au watu wenyewe wanakuwa wameamua Tu kujitambua wawe na Amani?
Hujitambui, tungekuwa na serikali legelege leo tungekuwa na viinchi kadhaa, usione vyaelea ujue vimeundwa
Neno mbadala ni mtego wa majambazi ya demokrasiaCCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.
CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili. Tazameni jirani zetu Kenya vurugu kila uchaguzi, Sudan ni damu kila wiki, Congo ni vita milele.
Amani tuliyo nayo ni currency kubwa kuliko hizo sauti zenu za mitaani.Bila stability hakuna mwekezaji, hakuna utalii, hakuna future.
Wapinzani mnakuja na utopia fantasy za kuamsha asubuhi na kuikuta Tanzania imekuwa Switzerland. Hamtaki kukubali kwamba maendeleo ya kweli ni marathon, sio sprint. Mnashindwa hata kuandika blueprint ya bajeti na vyanzo vya mapato ila mna ndoto za kuifikisha Tanzania EU-level next year. Huo ni ushabiki sio siasa.
Kama mnapenda hii nchi kweli, basi mshirikiane kujenga msingi uliopo badala ya kupiga danadana “CCM out” wakati hamna alternative ya maana.
CCM sio malaika, lakini inapeleka stability, security, na framework ya muda mrefu. Bila hayo hata ndoto zenu za kuingia madarakani zingekuwa bure nani ataendesha taifa lililojaa vurugu?
Hivi hamuoni West yenyewe inaporomoka? Uchumi wao una collapse, deni la Marekani linavunja rekodi, EU inagawanyika kisiasa. Hawa ndio mnaowaza watawajenga? Sasa hivi dunia nzima inajifanyia self-reliance na CCM tayari imeanza kuweka Tanzania kwenye hiyo line.
Kwa hiyo ndugu zangu wapinzani, kabla ya kuropoka, kwanza leteni mpango halisi wa nchi. Reality ni hii: stability + discipline + long term planning = maendeleo. Na hilo mpaka sasa CCM bado ndio wana deliver zaidi.
Mnadhani kuwa wakali kwa maneno ni ujasiri kumbe ni upofu wa kisiasa. Tanzania ni kubwa kuliko hisia zenu.
CCM ndiyo imebeba hii nchi mgongoni kwa zaidi ya nusu karne bila kuivunja vipande vipande.
bila uongozi wenye dhamira ya amani huezi kuipata amaniAmani inaletwa na chama au watu wenyewe wanakuwa wameamua Tu kujitambua wawe na Amani?
Hayo ni maoni yako na mtizano wako kimsingi Kuliko CCM Bora utawala wa Gavana wa Kikoloni au Bora Jeshi liongozeCCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.
CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili. Tazameni jirani zetu Kenya vurugu kila uchaguzi, Sudan ni damu kila wiki, Congo ni vita milele.
Amani tuliyo nayo ni currency kubwa kuliko hizo sauti zenu za mitaani.Bila stability hakuna mwekezaji, hakuna utalii, hakuna future.
Wapinzani mnakuja na utopia fantasy za kuamsha asubuhi na kuikuta Tanzania imekuwa Switzerland. Hamtaki kukubali kwamba maendeleo ya kweli ni marathon, sio sprint. Mnashindwa hata kuandika blueprint ya bajeti na vyanzo vya mapato ila mna ndoto za kuifikisha Tanzania EU-level next year. Huo ni ushabiki sio siasa.
Kama mnapenda hii nchi kweli, basi mshirikiane kujenga msingi uliopo badala ya kupiga danadana “CCM out” wakati hamna alternative ya maana.
CCM sio malaika, lakini inapeleka stability, security, na framework ya muda mrefu. Bila hayo hata ndoto zenu za kuingia madarakani zingekuwa bure nani ataendesha taifa lililojaa vurugu?
Hivi hamuoni West yenyewe inaporomoka? Uchumi wao una collapse, deni la Marekani linavunja rekodi, EU inagawanyika kisiasa. Hawa ndio mnaowaza watawajenga? Sasa hivi dunia nzima inajifanyia self-reliance na CCM tayari imeanza kuweka Tanzania kwenye hiyo line.
Kwa hiyo ndugu zangu wapinzani, kabla ya kuropoka, kwanza leteni mpango halisi wa nchi. Reality ni hii: stability + discipline + long term planning = maendeleo. Na hilo mpaka sasa CCM bado ndio wana deliver zaidi.
Mnadhani kuwa wakali kwa maneno ni ujasiri kumbe ni upofu wa kisiasa. Tanzania ni kubwa kuliko hisia zenu.
CCM ndiyo imebeba hii nchi mgongoni kwa zaidi ya nusu karne bila kuivunja vipande vipande.
Na hapo baraza linaishia kwenye wizara 4 tu zingine zote hakuna watu wa kujaza. 😂 Wizara ya Fedha? Hakuna. Elimu? Hakuna. Nishati na madini? Hakuna. Ulinzi na usalama? mkiulizwa “mbadala wa CCM ni nani?” hii ndio picha: Baraza la mawaziri la memes na vichekesho. Na nyie mnajidai mnabeba future ya taifa?Mbadala wa CCM ni Chadema na baraza lake la mawaziri hili hapa,,,!
Heche waziri mkuu.
Sugu waziri wa michezo.🤣
Mnyika wizara ya Afya.
Boni Yai wizara ya mifugo😅
wizara nne tu tosha kabisa😎🤸🤸🤸
Mbadala unafahamika,usijitoe akiliCCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha.