Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
We mzee na wewe unazeeka vibaya sasa! Ameizoloteshaje?Mpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Mkuu kila jambo na wakati wake, Hekima ni kujua nini uongee, ni wakati gani uongee na vilevile ni wakati gani unyamaze.Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Hapana kabisa😀 ishu ya Gwaji boy tuliimaliza jana.. Leo Arusha tumeliamsha dude vibaya mnoMpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Mbona unababaika? Kwamba mtu atayemuamini Gwajima ni mjinga!? Kwamba alichosema Gwaji ni uongo? Watu hawapotei? Mbona wabunge wako wamethibitisha na kutamba kuwa nguvu ziongezwe kuwadhibiti kenge!? Kama kweli Gwajima katumwa basi waliomtuma hawakufanya hesabu zao vizuri na ndomana unaona imewachafua siyo mdani tu ila kimataifa!Mpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Gwajima ameongeza hamasa ya NO REFORMS NO ELECTIONMkuu kila jambo na wakati wake, Hekima ni kujua nini uongee, ni wakati gani uongee na vilevile ni wakati gani unyamaze.
Gwajima amechagua kuongea sasa kwa sababu anazojua yeye, vilevile ni bora kazungumza kuliko angekaa kimya kwa sababu hujui Utekaji utaendelea hadi lini. Nafikiri ni wakati sahihi wa yeye kuzungumza.
InFact Gwajima ameongea vitu vya msingi sana na wahusika wanapaswa kuchukua alichoshauri.
Wananchi sisi ndio TATIZO kwenye hili Taifa.
Si ajabu Mtibeli na wewe wamekupa kisado cha asali ulambe kidogo. Na ulipolamba tu,chap ukajisogeza kwenye keyboard ukacharaza huu uzi🍯🍯🍯🍯🍯Mpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Punguza ujuaji wa kijinga dogo…maneno ya Gwajima ni ukweli mtupuuu
Gwaji boy