CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

Simuongelei kwa ubaya nyuzi zake nyingi sana anaongeaga ujinga na utumbo

Mfano yule wa dc wa longido aliyetumbuliwa alisema kwa kinywa chake walikuwa wanawateka watu na kuwatesa watu huko maporin uchaguzi wa 2020 na huu ni aina ya utekaji aliouongelea gwajima sasa hapo kawasaidiaje ccm

No reform no election moja ya mambo inayopinga ni wagombea kutekwa kipindi cha kampeni ila anakuambia gwajima kawasaidia ccm how??? Nimeshangaa sana

Ndio maana hakuna aliyempinga Gwajima.
Kwamba alichosema ni kweli kabisa.
 
Mmmh!
CDM ilizuiaje Mchakato wa katiba Mpya?
Kwa nguvu na mamlaka ipi?
kututoa kwenye dira ya msingi, ku-control madaraka ya raisi kwenye rasimu.

Na hakuna mtu ambae alikuwa against hiyo notion ya kupunguza madaraka ya raisi kama 'Judge Warioba'

Ndio maana hii vita ya Gwajima isiwe ya CDM na wanaharakati uchwara.

CDM wapiganie katiba yao mpya.

Na 'shujaa wetu' wananchi 'mchungaji Gwajima' ajikite kwenye vita yetu kwenye mabadiliko ya msingi kwenye katiba ku-control madaraka ya raisi.

Raisi hawezi kuwa na kibali cha kubadili ma DGIS kama huyu mama alivyofanya, tena anatimua na wasaidizi wake wote. Kumbuka alishaweka DGIS mzanzibari ambae hakudumu kisa aafika dira njia zake; akamtimua.

Ni vipi watanzania hamjamuelewa Gwajima hoja yake, watu wanauliwa kishamba jeshi la polisi linakosa maelezo.

Mtu kama 'Mdude' after a while sote tunajua alikuwa ni kenge tu kwenye msafara wa mamba ilimradi aonekane. Lakini mdude sio tishio kwa CCM, ni mtu ambae asie na thamani ya maisha ya wengine ndio anaeweza kuchukua life ya wengine kirahisi hivyo.

Sasa kwa wengine, life as equal value, ndio Gwajima anauliza; je ingekuwa watoto wa viongozi au watu wenye nafasi maana hata yeye mtoto wake kamuweka kwenye equation ni sawa?
Uhuni wa CCM, Nguvu zao na control ya taasisi za serikali majeshi yote (polisi, JWTZ. uhamiaji, magereza na taasisi zingine za propaganda media, TCRA) and so forth.

Ushindi wa CCM auna ulazima wakuchukua maisha ya raia wanyonge, 'Mdude CDM' ana nguvu gani na madhara gani ya CCM kuchukua uhai wake, zaidi ya 'bi-tozo' kupeleka hela kwa vikundi vya wahuni ambao ili kumridhisha matumizi ya hela anayowapa kufanya mambo ya hovyo kama hayo (hayo).

Ndio ugomvi wa Gwajima ulopo, kwa kifupi ni kwenye ku-control madaraka ya raisi.

Ni nani mwenye akili zake timamu anaweza amuru watu wakachukue maisha ya mtu kama 'Mdude CDM' hakuna justification zaidi ya kupenda kuuwa tu.
 
Simuongelei kwa ubaya nyuzi zake nyingi sana anaongeaga ujinga na utumbo

Mfano yule wa dc wa longido aliyetumbuliwa alisema kwa kinywa chake walikuwa wanawateka watu na kuwatesa watu huko maporin uchaguzi wa 2020 na huu ni aina ya utekaji aliouongelea gwajima sasa hapo kawasaidiaje ccm

No reform no election moja ya mambo inayopinga ni wagombea kutekwa kipindi cha kampeni ila anakuambia gwajima kawasaidia ccm how??? Nimeshangaa sana
Huyo ni mpuuzi bro
 
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
mtizamo wako ni fake; Mtumishi wa Mungu Josephat Gwajima anazungumzia Reforms za kikatiba za kuyadhibiti mamlaka ya Rais juu ya watendaji wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Hujiulizi ni kwanini hasa kwa miaka ya karibuni DGIS wamekuwa fired sana kirahisi-rahisi kama house maids?- maana yake walipingana naye kwenye mambo ya msingi ya kizalendo. Maana bibi yenu hana chembe ya uzalendo kwa Tanganyika.

Baada ya muda sio mrefu Mtumishi Gwajima atathibitisha kwamba: "NO REFORMS, NO ELECTION" maana ndicho kilichomo moyoni mwake.
 
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
Unahisi umefikiriiiii ?!
 
Tunaendelea kuchanja mbuga na no reform no ellection, acha kujidanganya ewe ponjori

Hakuna kitakachotutoa kwenye msitari
 
Back
Top Bottom