CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema
Kwa akili yako kabisa gwajima katumwa kuongea vile?!
 
Jamaa kaongea ujinga wa hali ya juu sana
Ccm wanatumia mpaka TCRA kufuta ile video ya gwajima kwa nguvu zote
Alafu anatokea mtu anasema kawaisaidia

Moja ya madai ya no reform no election ni kupinga utekaji ambao umekua ni common kipindi cha uchaguzi na gwajima amaeshindilia msumari ila anatokea mtu anasema amewasaidia ccm

Kuna mda tukubali upeo wa watanzania ni mdogo sana
 
Kwahiyo asingeongea vile?
Ili kulinda no Reforms, no election?!
Huyu jamaa heriel ni mfano wa mtaji mkubwa sana wa wajinga ndani ya nchii ambao hawajielewi

Juzi samia kwa uchungu anawaambia wajumbe msigwajimaizi chama alafu mtu anasema kawasaidia

Mtu akusaidie alafu umdhihaki waziwazi alafu umpige vita ndani ya chama na kinachomsaidia gwajima ni mtu mkubwa, na tajiri kwa hiyo anaweza kujilinda ila Angetoa mtu wa kawaida ile kauli ya gwajima nakuhakikishia angepotezwa mda sana
 
Jamaa kaongea ujinga wa hali ya juu sana
Ccm wanatumia mpaka TCRA kufuta ile video ya gwajima kwa nguvu zote
Alafu anatokea mtu anasema kawaisaidia

Moja ya madai ya no reform no election ni kupinga utekaji ambao umekua ni common kipindi cha uchaguzi na gwajima amaeshindilia msumari ila anatokea mtu anasema amewasaidia ccm

Kuna mda tukubali upeo wa watanzania ni mdogo sana
Asante kuna watu huwa tunawaheshimu humu ila ni empty set.
 
..actually Gwajima kawachanganya Ccm.

..sasa hivi vyombo vya dola havijui vipambane na Gwajima, au vipambane na Chadema.

..hujaiona NRNE iko kwenu maeneo ya Same?

..NRNE imeshavuka toka hatua ya mitandao sasa iko mitaani kwa mwananchi mmoja mmoja.
Hapitii hata huko fb na insta kwenye pages KUU?!!
 
Mpo salama!

Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.

Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.

Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.

Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.

NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.

Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli

Usiku mwema

Umekurupuka mkutano wa Moshi ni baada ya hayo maneno na ulikuwa na maelfu ya watu
 
Asante kuna watu huwa tunawaheshimu humu ila ni empty set.
Simuongelei kwa ubaya nyuzi zake nyingi sana anaongeaga ujinga na utumbo

Mfano yule wa dc wa longido aliyetumbuliwa alisema kwa kinywa chake walikuwa wanawateka watu na kuwatesa watu huko maporin uchaguzi wa 2020 na huu ni aina ya utekaji aliouongelea gwajima sasa hapo kawasaidiaje ccm

No reform no election moja ya mambo inayopinga ni wagombea kutekwa kipindi cha kampeni ila anakuambia gwajima kawasaidia ccm how??? Nimeshangaa sana
 
Ndio maana wazalendo wanakwepa hii vita ya kuipigania nchi kwa njia sahihi.

Ngoja sasa CCM waanzishe huo mchakato wa katiba uone akili za CDM na wanaharakati zitavyotutoa kwenye dira ya msingi.

Huyu shujaa wao, wa leo Warioba wanaemsifia kama mlinzi wa rasimu yao wanayoitukuza.

Uhalisia Warioba kipindi hiko ndio alikuwa mpingaji number one wa kupunguza madaraka ya raisi.

CCM wametupa nafasi ya kutengeneza katiba mpya, hakuna watu nuksi kama wanachama wa CDM..

CDM, wafuasi wao wa JF, wanaharakati wa mitandaoni ni matahiira.

Watanzania tuna shida halisi, number one ni madaraka ya raisi; tukiyaacha haya mataahira ya CDM yabebe agenda yetu; tutapoteza tena fursa.

Agenda ni madaraka ya raisi, lazima yawe controlled.
 
Mmmh!
CDM ilizuiaje Mchakato wa katiba Mpya?
Kwa nguvu na mamlaka ipi?
 
Back
Top Bottom