Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Watu wagumu sana kuelewa mambo!
Mbona Gwajima ujumbe wake wote hauna tofauti kabisa na NRNE???
NRNE is currently unkwepable message!
Si ajabu Mtibeli na wewe wamekupa kisado cha asali ulambe kidogo. Na ulipolamba tu,chap ukajisogeza kwenye keyboard ukacharaza huu uzi🍯🍯🍯🍯🍯
Sio kweliii
Dogo punguza ujuaji unapotoka wewe.
Gwajima ameongeza hamasa ya NO REFORMS NO ELECTION
Na wakimshughulikia pia wataipa hamasa NO REFORM NO ELECTION
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora umesema wewe😂😂 huyu nae anaandika ujinga tu...hiyo mitandao ni ipi?, NRNE inabamba mtaani na mitandaoni au hujaona mitandaoni?.
Kwa akili yako kabisa gwajima katumwa kuongea vile?!Mpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Kwa akili yako kabisa gwajima katumwa kuongea vile?!
Hata kama hajatumwa nazungumzia Implications za kauli yake
Kwahiyo asingeongea vile?Hata kama hajatumwa nazungumzia Implications za kauli yake
Jamaa kaongea ujinga wa hali ya juu sanaKwa akili yako kabisa gwajima katumwa kuongea vile?!
Huyu jamaa heriel ni mfano wa mtaji mkubwa sana wa wajinga ndani ya nchii ambao hawajielewiKwahiyo asingeongea vile?
Ili kulinda no Reforms, no election?!
Asante kuna watu huwa tunawaheshimu humu ila ni empty set.Jamaa kaongea ujinga wa hali ya juu sana
Ccm wanatumia mpaka TCRA kufuta ile video ya gwajima kwa nguvu zote
Alafu anatokea mtu anasema kawaisaidia
Moja ya madai ya no reform no election ni kupinga utekaji ambao umekua ni common kipindi cha uchaguzi na gwajima amaeshindilia msumari ila anatokea mtu anasema amewasaidia ccm
Kuna mda tukubali upeo wa watanzania ni mdogo sana
Hapitii hata huko fb na insta kwenye pages KUU?!!..actually Gwajima kawachanganya Ccm.
..sasa hivi vyombo vya dola havijui vipambane na Gwajima, au vipambane na Chadema.
..hujaiona NRNE iko kwenu maeneo ya Same?
..NRNE imeshavuka toka hatua ya mitandao sasa iko mitaani kwa mwananchi mmoja mmoja.
Mpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Simuongelei kwa ubaya nyuzi zake nyingi sana anaongeaga ujinga na utumboAsante kuna watu huwa tunawaheshimu humu ila ni empty set.
Umekurupuka mkutano wa Moshi ni baada ya hayo maneno na ulikuwa na maelfu ya watu
Ndio maana wazalendo wanakwepa hii vita ya kuipigania nchi kwa njia sahihi.
Ngoja sasa CCM waanzishe huo mchakato wa katiba uone akili za CDM na wanaharakati zitavyotutoa kwenye dira ya msingi.
Huyu shujaa wao, wa leo Warioba wanaemsifia kama mlinzi wa rasimu yao wanayoitukuza.
Uhalisia Warioba kipindi hiko ndio alikuwa mpingaji number one wa kupunguza madaraka ya raisi.
CCM wametupa nafasi ya kutengeneza katiba mpya, hakuna watu nuksi kama wanachama wa CDM..
CDM, wafuasi wao wa JF, wanaharakati wa mitandaoni ni matahiira.
Watanzania tuna shida halisi, number one ni madaraka ya raisi; tukiyaacha haya mataahira ya CDM yabebe agenda yetu; tutapoteza tena fursa.
Agenda ni madaraka ya raisi, lazima yawe controlled.