Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #41
Simuongelei kwa ubaya nyuzi zake nyingi sana anaongeaga ujinga na utumbo
Mfano yule wa dc wa longido aliyetumbuliwa alisema kwa kinywa chake walikuwa wanawateka watu na kuwatesa watu huko maporin uchaguzi wa 2020 na huu ni aina ya utekaji aliouongelea gwajima sasa hapo kawasaidiaje ccm
No reform no election moja ya mambo inayopinga ni wagombea kutekwa kipindi cha kampeni ila anakuambia gwajima kawasaidia ccm how??? Nimeshangaa sana
kututoa kwenye dira ya msingi, ku-control madaraka ya raisi kwenye rasimu.Mmmh!
CDM ilizuiaje Mchakato wa katiba Mpya?
Kwa nguvu na mamlaka ipi?
Huyo ni mpuuzi broSimuongelei kwa ubaya nyuzi zake nyingi sana anaongeaga ujinga na utumbo
Mfano yule wa dc wa longido aliyetumbuliwa alisema kwa kinywa chake walikuwa wanawateka watu na kuwatesa watu huko maporin uchaguzi wa 2020 na huu ni aina ya utekaji aliouongelea gwajima sasa hapo kawasaidiaje ccm
No reform no election moja ya mambo inayopinga ni wagombea kutekwa kipindi cha kampeni ila anakuambia gwajima kawasaidia ccm how??? Nimeshangaa sana
mtizamo wako ni fake; Mtumishi wa Mungu Josephat Gwajima anazungumzia Reforms za kikatiba za kuyadhibiti mamlaka ya Rais juu ya watendaji wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Hujiulizi ni kwanini hasa kwa miaka ya karibuni DGIS wamekuwa fired sana kirahisi-rahisi kama house maids?- maana yake walipingana naye kwenye mambo ya msingi ya kizalendo. Maana bibi yenu hana chembe ya uzalendo kwa Tanganyika.Mpo salama!
Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii.
Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa kimya tena alikuwa kwenye fomu.
Akaingia Samia, Mambo yakharibika, utekaji ukaendelea, Gwajima Kimya. Ni juzir tuu haps, nini kimemgusa Gwajima wakati huu.
Gwajima angekuwa Mtu wa Haki hata kwa asilimia 50 tuu basi angekuwa anaongea mara kwa mara kuhusu yanayoendelea hapa nchini.
NI mtu aliyeamua kutofikiri vizuri ayakayemuamini Gwajima kwa Yale aliyokuwa anayazungumza.
Hoja za Gwajima ni ngumu na hakuna wakujibu kwa sababu kwa asilimia kubwa ni kweli.
Na huwezi kushindana na ukweli
Usiku mwema
Unahisi umefikiriiiii ?!Mpo salama!

Mkuu kwamba Gwajima atasaidia CHADEMA wasizuie uchaguzi?Mkuu Mimi nimezungumza ninachokiona
sure, u much know anaoDogo punguza ujuaji unapotoka wewe.
Pote.Wapi hapo
Tunaendelea kuchanja mbuga na no reform no ellection, acha kujidanganya ewe ponjoriMpo salama!