Uchaguzi 2020 CCM hakina watetezi, amebaki Polepole, Dkt. Bashir na UVCCM wachache

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?

Chama kimebaki na Pole pamoja na Dkt. Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.

Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
 
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?

Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.

Kama hali ndio hii unatetea nini ?

FB_IMG_1575390806699.jpg

FB_IMG_1575390792397.jpg

FB_IMG_1575390800494.jpg
 
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?

Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.

Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Wamebaki kama mayatima
 
Baada ya Uchaguzi Mkuu, tarehe 28 Oktoba 2020 CCM itakuwa KANU. Yale makambale ya Lumumba yaanze kuiba mali za chama mapema. Wakizubaa, waweza kuamka siku ya Alhamisi tarehe 29/10/2020 ukakuta chama kimekufa jana siku ya Jumatano.
 
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?

Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.

Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Kuna mmoja yupo huko Facebook hua anasifia chama LA ccm balaa, siku moja nikakitana nae ana kwa ana , nikamuuliza mwana naona sasa hivi umeshachukua na kadi ya chama.
Alichonijibu nilichoka
Kaniambia mwana nasifia ili mambo yangu yaende poa aisee , Ila kiuhalisia sitaki hata kidogo kumsikia bwana mkubwa , bora niendelee kua mnafiki hivi hivi
 
Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
acha kutusemea,utafiti wako hauna mashiko tukutane tarehe 28 ndio utajua cccm inapendwa au vipi
 
Hawa ni wachumia tumbo awajui hata ccm ikoje hawana uasili wa ccm awajapikwa tangu chini. Ccm mpya inayoamini kwenye nguvu ya dola badala hoja, unategemea dola Hali dola umeizulumu haki ya nyongeza za mishahara 5 yrs
 
CCM Mpya imesuswa na kila mtu mpaka wanaCCM original wamekaa pembeni.
Sababu ya katiba yao mbovu ya mwenye kiti kuwa na nguvu kuliko wanachama yaani kuwa Mkubwa kuliko ccm hii ndo inayoiuwa ccm.
2015 ccm ilichokwa ikabebwa na mwenyekiti 2020 Leo vyote vimechokwa hata watumie euro badala ya dola anga limeshawakataa.
 
Dalili ya chama mfu Ni kubebwa na dola badala ya umma. Anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola
 
Sasa bashiru anakwambia tumia dola kubaki madarakani wakati huo dola yenyewe Ina njaa, 5 yrs umeizulumu haki yake ya kikatiba ya nyongeza za mishahara, penye njaa hakuna utii bali unafiki. Sijui watategemea nini this time hoja hawana, ushawishi hawana, nguvu ya umma hawana, wanaonufaika na dola ni mabosi zao wa chini wanaunga mkono mabadiliko sababu wote ni sehemu ya Jamii wamesomeshwa namba.
 
Back
Top Bottom