CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

Kuna principles nyuma yake ndio maana watu wanakatwa inaweza kuwa misimamo ya wagombea aiendani na itikadi ya chama, inaweza kuwa chama akielewi source za mapato yao, uwezo wao mdogo kutokana na changamoto za jimbo (sio majimbo yote unaweka tia maji tia maji) etc sio kwamba wanajikatia kuna sababu.

Kwenye CCM ya Magu walioteuliwa wametakiwa kutojiingiza huko kama wanataka kubaki kwenye nafasi za uteuzi (awajuzuiliwa). Kumbuka tu asilimia kubwa ya Ma RC, RAS, DC, DAS wengi ni makapi walioshindwa kura za maoni 2015 au vijana CCM inawao wapika, hizo nafasi wamepewa kiupendeleo there are scores of qualified ppl who have been overlooked wanajikuta wanawafundisha kazi mabosi ambao walitakiwa kuwa chini.

As far as Magu is concerned he has done them a favour vinginevyo wangekuwa wanaunga unga kitaa, kwa hiyo watulie. Kama awataki sawa hila yeye atachukua nafasi awape wengine. Na akiamka vibaya atawakata ata huko CCM pengine kwa mtazamo wake ni ungretful individuals (hila nina uhakika due process zitafuatwa).

Demokrasia ya CCM hapo awali hawakuwahi kutumia vigezo ulivyovitaja hapo juu kukata majina, wana vigezo ambavyo ni bayana, hiki tunachokiita uongozi wa magu ndicho ambacho sisi kama wana CCM hatukitaki, siku zote taratibu huwa zinafuata katiba na misingi ya chama.

Watu wataumizwa na hicho tunachokiita “mood” aliyoamka nayo mwenyekiti siku hiyo, hiki sio sahihi lazima tujifunze kukisema.
 
Ubabe, uvunjaji wa sheria na kanuni, kuanzia kwenye chama hadi kwenye serikali.

Magufuli is simply the worst leader to have ever led this country.
 
Mbona ni mambo ya kawaida hata Hussein Bashe alishinda kura za maoni Nzega 2010 wakati bado ni jimbo moja akakatwa wapili alikuwa Kigwangala ndio akapewa nafasi ya kushiriki uchaguzi. 2015 Nzega ilipogawanya ndio Bashe akapata Nzega mjini, Kigwangala Nzega vijijini.

Magu mropokaji tu na kupenda kujimwambafy kwenye kila kitu lakini utaratibu wa kukata watu ni kawaida sana sio ndani ya CCM tu, ni wa kidunia.

Bitter and divided –Shrewsbury Labour Party members at war just weeks before big vote

Labour candidate removed over anti-Semitism claims

Labour candidate deselected by 'kangaroo court'

Hata UK Labour Party wanautaratibu haswa kwenye safe seats mshindi kwenye kura ya maoni akiwa tia maji tia maji wanaweza kata kwenye NEC yao nakuweka mtu wao aliekitumikia chama makao makuu au wanae muamini zaidi.
Usilalamike, bali endeleeni kumsifu na kumtukuza.
 
Ili alifanyi nasi kuiga ...mnapoelekea mtasema tuige na ushoga kwakua huko UK ,USA nk ni kitu cha kawaida
Kwenye hili hamtaki tuige!?? Mmhh kweli nyie watu vigeugeu! Mbona kila jambo huwa mnalinganisha na mahali flani iwaje hili tu
 
Demokrasia ya CCM hapo awali hawakuwahi kutumia vigezo ulivyovitaja hapo juu kukata majina, wana vigezo ambavyo ni bayana, hiki tunachokiita uongozi wa magu ndicho ambacho sisi kama wana CCM hatukitaki, siku zote taratibu huwa zinafuata katiba na misingi ya chama.

Watu wataumizwa na hicho tunachokiita “mood” aliyoamka nayo mwenyekiti siku hiyo, hiki sio sahihi lazima tujifunze kukisema.
Kila mtu ana mtindo wake wa kuongoza huko kwa mabeberu Mrs May kaangaika na Brexit deal kwa zaidi ya mwaka bila ya mafanikio. Proposal hizo hizo ndio Boris Johnson alizipendekeza with the altimatum mmbunge asiepiga kura ya ku support uchaguzi mkuu jina lake likija atamkata.

Labda kwa sababu kwetu ni mazoea atujawahi ona kiongozi akisimamia mtazamo wake kwa kipindi kirefu. Magu alishasema wakati anaingia madarakani ndani ya CCM na serikali kutakuwa hakuna watu wenye kofia mbili ukitaka kwenda kugombea ubunge nenda hila huku serikalini nakutosa, hiyo ya kukata ni mkwara tu (Magu outside the script he can say anything it’s his way putting emphasis).

Hila usisahau alimalizia hotuba yake kwa msisitizo ni haki ya kila mtu kugombea na kuchaguliwa hiyo ya kukata na atakavyo amka ni kuropoka tu sidhani if that will be the case.
 
Ungekuwa umesoma mambo ya leadership ungeelewa ni namna gani kiongozi ana influence direction ya taasisi katika muda wake.
Kuna aja gani ya kusoma tena,unataka kuniambia elimu yako ya makaratasi ina tija apo nyumbani?
Hakuna kozi inayosema kiongozi lazma afunje utaratibu ,sheria na kanuni labda kama ni kozi ya ujinga wa leadership.
 
Tulipotoka

Mimi: Nimekwambia CCM ya Magu inafanya kazi tofauti

Wewe: Hakuna CCM ya Magu kuna CCM ya wana CCM wote

Mimi: inawezekana uelewi somo la leadership, kuongezea tu mwenyekiti wa chama hiyo nafasi sio ceremomonial they actually set the agenda on the party direction. Ndio maana hakina Polepole na Bashiru unawasikia tunatekeleza maelekezo ya mwenyekiti, sio maelekezo ya wana CCM.

Wewe: hakuna kozi inayofundisha kiongozi anaetakiwa kuvunja taratibu na katiba

Mimi: nionyeshe wapi nimesema kiongozi anaweza vunja ivyo vitu ndani ya hii thread, ukishindwa jibu unalo mwenyewe mimi na wewe nani mpumbavu.

Nilichoongelea ni leadership style sio kitu kingine. Kuna tofauti kubwa sana baina ya kiongozi anaetumia autocratic leadership style kama Magu na mtu kama JK aliekuwa akitumia ‘laissez faire’, chini ya miongozo ile ile ya katiba ya CCM na ya Tanzania.
 
Kusomea ujinga nako ni shida
 
Hapa najaribu kujiuliza hivi na hawa wagombea wa majimbo wangefanya kujiandalia formu moja tu ya uteuzi kama mkuu wao alivofanya, je kungekuwa na shida gani? Maana kuna wengine na wao pia wameongoza ubunge katika majimbo yao kwa muhula mmoja tu so nao wangetumia formula kama ya mkt wao ili ijulikane kabisa kuwa ni desturi ya chama kama wanavyosema wanaotetea udikteta uliotumika! Pia kwa hii tumbuatumbua ya ma-Rc, Dc na Ded, hata mimi ningekuwa RC, DC au DED lazima ningetafta jimbo ili nijihakikishie kukaa bungeni miaka 5 ! Maana kwa watendaji wengi imekuwa ni changamoto kwenda parallel na mkuu wa kaya! Sometimes mtu anafanya kile taaluma yake inachomuongoza, mfano Dkt Ndugulile, pamoja na yale mauzauza yaliyojitokeza pale maabara ya taifa wakat wa Corona, sikuona mantik ya kumtumbua msaidizi wa waziri, ukamuacha waziri kamili, wakati hata taaluma ya eneo lake hana!
 
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Zile kura za rushwa hazina nafasi ndani ya CCM, mgombea ajipime kama anakubalika bila kutoa rushwa na kama anajiona hadi atoe rushwa ndo apite imekula kwake ni bora asijisumbue
 
CCM ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kidikteta na kishetani. Maamuzi yote ni ya mtu mmoja.

NA HII NI SAFI SN MAANA hawa mbwa vijana wa ccm wameupalilia sana huu udikteta wacha waisome namba
watapata shida sana ngoja wapinzani wanyamazishwe kama wanadhani wamemaliz kazi bado kazi ndo imeanza
 
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Wewe na wenzako wanaCdm akili zenu zimejaa manailoni. Mnafikiri kwa kutumia makalio hamna hoja za kuinanga Ccm. Kwani Mwenyekiti anapofanya mchujo huwa peke yake? Si hukaa na kamati kuu kuangalia kama aliyeshinda ana maadili? Mmekuwa kama mnaharisha uharo wa upuuzi vichwani mwenu.
 
Upinzani wa bongo kutwa kuhangaika na ccm. Ikiwa hawana demokrasia sin diyo yapaswa kuwa furaha ya upinzani? Upinzani gani unatamani ccm wawe chama bora chenye demokrasia? Upinzani wa Tanzania ni uchuro tu!
 
Back
Top Bottom