binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kuna principles nyuma yake ndio maana watu wanakatwa inaweza kuwa misimamo ya wagombea aiendani na itikadi ya chama, inaweza kuwa chama akielewi source za mapato yao, uwezo wao mdogo kutokana na changamoto za jimbo (sio majimbo yote unaweka tia maji tia maji) etc sio kwamba wanajikatia kuna sababu.
Kwenye CCM ya Magu walioteuliwa wametakiwa kutojiingiza huko kama wanataka kubaki kwenye nafasi za uteuzi (awajuzuiliwa). Kumbuka tu asilimia kubwa ya Ma RC, RAS, DC, DAS wengi ni makapi walioshindwa kura za maoni 2015 au vijana CCM inawao wapika, hizo nafasi wamepewa kiupendeleo there are scores of qualified ppl who have been overlooked wanajikuta wanawafundisha kazi mabosi ambao walitakiwa kuwa chini.
As far as Magu is concerned he has done them a favour vinginevyo wangekuwa wanaunga unga kitaa, kwa hiyo watulie. Kama awataki sawa hila yeye atachukua nafasi awape wengine. Na akiamka vibaya atawakata ata huko CCM pengine kwa mtazamo wake ni ungretful individuals (hila nina uhakika due process zitafuatwa).
Demokrasia ya CCM hapo awali hawakuwahi kutumia vigezo ulivyovitaja hapo juu kukata majina, wana vigezo ambavyo ni bayana, hiki tunachokiita uongozi wa magu ndicho ambacho sisi kama wana CCM hatukitaki, siku zote taratibu huwa zinafuata katiba na misingi ya chama.
Watu wataumizwa na hicho tunachokiita “mood” aliyoamka nayo mwenyekiti siku hiyo, hiki sio sahihi lazima tujifunze kukisema.