CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

Ni ngori.

Wana mihemko kwenye mambo ya kijinga, lakini kwenye suala zima la mambo serious huwezi kuwaona hata chembe!

Yaani, huwa najiuliza sana hilo swali ujue 😂😂😂

Ama hakika hawa ni maiti 🫠🫠
 
Yani sisiem Bora tumtumie Hashimu Rungwe kuliko huyo Kaka yenu wa Ufundi.
 
Inasikitisha sana. Mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini wa Watanganyika walio wengi.
 
KANU walikua wanaambiana hivi leo wako wapi? CCM hii kama ilivyo haivuki 2035 madarakani. Unless wabadilike, na bahati mbaya, CCM hii haiwezi jivua gamba tena. Gamba lake limeunganikana na nyama yake so, haviwezi tenganishwa.

CCP wameweza tawala miaka yote, sababu tu wamefanikiwa kuindeleza china kiuchumi, kijamii, kiteknolojia kwa kiwango kikubwa sana. Imewatoa watu wake 800 katika umasikini, zaidi ya 70%.

Kuna mawazo, nia na mipango mizuri sana lakini changamoto ni mfumo wa CCM umehodhiwa kiasi haiwezi telelezq hayo.

Generation change, huondoa tawala madarakani. Kama kilichotokea 2025 huoni kama ni redflag, basi subiri surprise.
 
Mnajifananisha na Urusi tena? Wenzenu wakati wanapambana kufika hapa walipo leo waliacha kila kitu na kupambania walichonacho Leo.
Sasa hivi ndio wanapambana na kitu kingine km huo ushoga.

Sisi hapa bado sanaa, kuacha matatizo mbali mbali ya msingi na kuanza kupambania ushoga. Lol
 
Ni ngori.

Wana mihemko kwenye mambo ya kijinga, lakini kwenye suala zima la mambo serious huwezi kuwaona hata chembe!

Yaani, huwa najiuliza sana hilo swali ujue 😂😂😂

Ama hakika hawa ni maiti 🫠🫠
Jamii aina hii ni deadly ikitokea wameerupt.
 
Dudu baya kimbinu unaweza kumuita Ghost ball. Ambaye ni kama invisible Card ambaye anasukuma kete zinazoonekana bila maadui kufahamu.
Lakini si dudubaya huyu huyu huwa anataka Lissu aachiwe na kwamba sio muhaini. Sasa CCM ikimpa coverage dudubaya si itaipa coverage pia kuachiwa kwa Lissu?

Hivi si serikali ya CCM imempiga fine dudubaya huoni ndio inafanya waonekane wao serikali ndio washabiki wa ushoga? Ambayo inakua mtazamo mbaya kwa wapiga kura?

Huu uchambuzi wako ni walakini sana, bora ungesema waTanzania wana tabia ya kurukia matukio ila sio kwamba CCM ndio wana engineer kila tukio.

Ni either unaikuza sana nguvu ya CCM kuliko uhalisia au kama kweli wanapanga basi hawana uwezo huo wa kutengeneza propaganda zenye quality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…