maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Ukafie mbali! Shetani maana yake ni huyo mama yako ambaye hakukufunza maadili unasapoti ushoga bila aibu eti kwanini usiutetee? F*ck youKwanini nisitetee? Nini maana ya shetani??
Ukafie mbali! Shetani maana yake ni huyo mama yako ambaye hakukufunza maadili unasapoti ushoga bila aibu eti kwanini usiutetee? F*ck youKwanini nisitetee? Nini maana ya shetani??
Wa tz ni maiti zinazotembea. 😂😂😂Na walivyo hamnazo wanamchangia. Wakidhani wanapambana na CCM au serikali kumbe ukute dudu naye anatumwa kupoteza watu maboya
Hahaha, Walinde migongo sio?Hamna cha CCM hapo vijana jitafakarini...
CUF is no more kaka. Ni Briefcase party kwa sasa. Dola iliishaimaliza. Kwa huku bara ni joka la kibisa.hivi CUF huku bara haijageuka ACT kama kule zenji?
Tuliza mhemko bwashee, kwani shida nini ati?Ukafie mbali! Shetani maana yake ni huyo mama yako ambaye hakukufunza maadili unasapoti ushoga bila aibu eti kwanini usiutetee? F*ck you
Kumbe ukute. I thought you guys mko na hakika na mnachokisema.Na walivyo hamnazo wanamchangia. Wakidhani wanapambana na CCM au serikali kumbe ukute dudu naye anatumwa kupoteza watu maboya
Uko sahihi sana, kuna mwana ccm anamtetea lissu kwa kuwa wote ni wanyiramba na wanatokea Ikungi.CCM ndiye mratibu wa huyo Dudu baya. Ni vile tuu wengi mnashindwa kuona hilo.
Kwani kumtetea Lisu ndio kunamfanya mtu awe ccm au chadema?
Kila mtu anasema jambo fulani akiwa na agenda fulani.
Wewe unaweza kumtetea Lisu kwa sababu ya HAKI.
Mwingine anaweza kumtetea Lisu kwa Sababu ni CHADEMA mwenzake. Haki sio msingi.
Mwingine wa CCM anaweza kumtetea Lisu kwa sababu sio ya haki tuu bali anajikosha, anaagenda zingine anazodijua yeye
Unanuka mavi weweTuliza mhemko bwashee, kwani shida nini ati?
😂😂😂
Njoo ulambe, 😂😂Unanuka mavi wewe
Nije nikulambe hiyo puru!!😂 wewe shahawa za wanaume zimeshakuharibu unajitongozesha mchana kweupe! Mimi sio muumini wa huo uchafu Kafie mbeleNjoo ulambe, 😂😂
ilikua strong sana coastCUF is no more kaka. Ni Briefcase party kwa sasa. Dola iliishaimaliza. Kwa huku bara ni joka la kibisa.
Yah Tanzania nzima. Before CHADEMA was CUF, before CUF was TLP, before TLP was NCCR. Nakumbuka 1995 tuko primary, Mrema alikuja Tabora, mji ulisimama. 2005 CUF ilikuwa ndio habari ya Taifa, 2010 CHADEMA ndio walianza kukiamsha. Nilichowasifu CHADEMA walianza recruit damu mpya kwenye siasa ya vijana wa vyuo. Na kikwete alikuwa fair kiasi, siasa vyuoni zilikuwa sana + emergency ya bodaboda hiyo early 2010 hawa jamaa walikuwa na mchango mkubwa katika kuwabadilisha wanavijiji kiasi fulani. 2015 mambo yaligeuka vibaya sana.ilikua strong sana coast
sema ccm isipoanguka hapa kwa samia, nadhani itachukua miaka mingine mingi kidogoYah Tanzania nzima. Before CHADEMA was CUF, before CUF was TLP, before TLP was NCCR. Nakumbuka 1995 tuko primary, Mrema alikuja Tabora, mji ulisimama. 2005 CUF ilikuwa ndio habari ya Taifa, 2010 CHADEMA ndio walianza kukiamsha. Nilichowasifu CHADEMA walianza recruit damu mpya kwenye siasa ya vijana wa vyuo. Na kikwete alikuwa fair kiasi, siasa vyuoni zilikuwa sana + emergency ya bodaboda hiyo early 2010 hawa jamaa walikuwa na mchango mkubwa katika kuwabadilisha wanavijiji kiasi fulani. 2015 mambo yaligeuka vibaya sana.
Akili mnembaSana.
Wanailaumu serikali kwamba inafanyaga mambo ambayo hayatatui changamoto za jamii.
Unamuuliza mtu wewe kwenu na ukoo wako kuna mashoga? Anakuambia hakuna.
Unamwambia kwa nini usidili na matatizo yanayokabili familia na ukoo wenu kama kupambana na ngono zembe na uzinzi?
Atakutukana
Tatizo watu tunachukua muda wetu binafsi wakuishi duniani na kuulinganisha na muda wote wa ulimwengu kana kwamba Kila kitu kinajipambanua Kwa Kwa mzunguko wa umri wako duniani wakati ni micro point tu. Ni makosa na uono dhaifu mno. Kama kitu kilizaliwa kitakufa tu. Nchi inazaliwa na kufa, lugha inazaliwa na kufa. Sembuse chama? Kinawezaje kuwa na umilele kitu Chenye mwanzo, Sasa ni Mungu huyo.Hakuna wa kuitoa CCM ktk nchi hii, acha kujidanganya bwashee, watakucheka wenzio.
Mbaki kubwata mitandaoni basi, hilo ndio mnaweza.
UjuajiBado Niko Kanda ya ziwa huku!
Aiseeh! Hii CCM kuiondoa madarakani ni kazi kwelikweli.
CCM haipo tuu midomoni. CCM ilipandwa kwenye akili za watu. Yaani asilimia 90% ya Watanzania wanaakili za kiccm CCM.
Wengi unaowaona wanapinga CCM wengi wao ni Njaa tuu. Wala hawapingani na uccm ambao utaukuta kwenye mambo mengine. Yaani unakuta mtu sio CCM kichama lakini kijamii ni CCM, kimichezo ni CCM, kiburudani ni CCM, kifamilia ni CCM, kiuchumi ni CCM. Hata namna anavyofikiria ni kiccm.
Sisi macho ya Bundi tunajua watu aina ya Dudubaya ni kina nani. Tunajua wapo kwaajili ipi.
Tunajua wanatumika na nani kwa misingi ipi.
Dudu baya kimbinu unaweza kumuita Ghost ball. Ambaye ni kama invisible Card ambaye anasukuma kete zinazoonekana bila maadui kufahamu.
Raha ya watu kama Dudu baya, ambao ni Ghost Ball au invisible kete huwachota mpaka upande wa pili na wao kujikuta wanachana na agenda ya msingi zilizopo.
Sisi Watibeli tunajua, nchi hii inamatatizo makubwa na makuu na hatarishi kuliko suala la ushoga. Anaousema Dudubaya.
Ukifanya utafiti utagundua kuwa katika familia kumi ni chache sana zenye mashoga. Chache sana. Kwanza kuna koo ambazo hakuna hata shoga mmoja wala hakuna mtu aliyewahi kuwa na kashfa ya ushoga. Na hizo koo zipo nyingi sana.
Msomaji unaweza kuungana na mimi katika ukoo wenu au mzunguko wako kuna shoga yoyote? Nina hakika asilimia 90% ya watu wakianza kuangalia watagundua koo zao hakuna mashoga.
Matatizo makubwa ndani ya nchi hii ambayo kila familia yanakabiliana nayo ni kama ifuatavyo;
a) Umaskini.
Kila ukoo na familia. Unapambana na umaskini. Asilimia 90% ya familia na koo za watanzania nchi ni maskini. Kumiliki pato la 5,000/= kwa siku kwa kila members wa familia ni kipengele. Kumaanisha ni maskini.
Mfano kama unafamilia ya watu watano, yaani Baba, mama na watoto wa tatu. Wastani wa kiasi kwa kila mtu hapo inatakiwa muwe na 5k yaani 25k ndilo pesa ya matumizi kwa siku
b) Ukosefu wa Haki.
Kila familia wanauzoefu kwa namna moja ama nyingine kudhulumiwa haki. Iwe ni haki ndani ya familia, kwenye jamii, kichumi na serikalini.
c) Uzinzi.
Hili ni janga ndani ya nchi. Madhara ya uzinzi kwenye nchi hii yamegusa kila familia, kila koo.
Hakuna ukoo hata mmoja ambao hauhangaiki na madhara ya Uzinzi.
Uzinzi ni chanzo cha single mothers.
Uzinzi ni chanzo cha watoto kukosa Baba na malezi ya wazazi.
Uzinzi ni chanzo cha magonjwa kama ukimwi.
Uzinzi ni chanzo cha migogoro ya kifamilia na kuvunjika kwa ndoa nyingi.
Uzinzi ni chanzo cha umaskini.
Uzinzi ni chanzo cha vifo vinavyosababishwa na Wivu wa mapenzi.
Uzinzi ni chanzo cha ukatili kama ubakaji. N.k.
Hakuna familia au ukoo ambao hauna matokeo ya Uzinzi.
Ila zipo koo maelfu elfu zisizo na ushoga.
Najaribu kusema Ushoga sio tishio kama ilivyo kwa changamoto zingine.
Dudu baya wengi hawatamuelewa kwani yeye ni ghost Ball, invisible kete ambaye kazi yake ni kusukuma agenda kinyume nyume.
Kwa wale ELITE wanajua nazungumzia nini.
Wenye upeo mdogo ni rahisi kutoelewa ishu kama hizi.
Mtu unamuuliza unapinga ushoga ni sawa. Je kwenye familia na ukoo wako mnachangamoto ya ushoga? Kuna shoga yeyote. Anajibu hakuna.
Unamuuliza, vipi kuna single mothers? Je kuna vijana wanaozalisha watoto wawatu hovyohovyo? Anajibu wapo wengi sana.
Unamwambia kwa nini asipambane na matatizo yanayomkabili kuliko kupambana na matatizo ya mbali? Anakuangalia.
Zaidi atakutukana kwamba wewe naye ni shoga.
Haya!
TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga