CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

CCM ipo madarakani kwa sababu ya mabavu, ubabe, kutumia majeshi nk. Kwa sasa hawana kete yoyote ya kuwaweka madarakani zaidi ya mabavu. Msiwafanye waonekane wajuvi wakati ni wajinga tu kama watanzania wengine wengi tu.

Toa kujimilikisha majeshi, niambie ccm inakipi inacho offer kwa sasa!

Hakuna wa kuitoa CCM ktk nchi hii, acha kujidanganya bwashee, watakucheka wenzio.

Mbaki kubwata mitandaoni basi, hilo ndio mnaweza.
 
CCM ipo madarakani kwa sababu ya mabavu, ubabe, kutumia majeshi nk. Kwa sasa hawana kete yoyote ya kuwaweka madarakani zaidi ya mabavu. Msiwafanye waonekane wajuvi wakati ni wajinga tu kama watanzania wengine wengi tu.

Toa kujimilikisha majeshi, niambie ccm inakipi inacho offer kwa sasa!
Sasa Mpare kwa akili zenu hizo mnazo pelekeshwa na pretty issues, mnaweza kuiondoa CCM? Oct 29 kilichotokea ilitakiwa iwe alarm kwa kila mtu kupambania mambo ya msingi ktk taifa hili, lakini ona sasa mko buzzy na drama ya dudubaya na mmejaa ukiwemo wewe pia.

Halafu usingizie Majeshi na vyombo vingine vya ulinzi, kwani nchi zingine hakuna hayo majeshi? Hadi wananchi wanapambania na kupigania taifa lao? Useme tu ukweli wabongo ni wazuri kwenye kubwata na kupiga zumari mtandaoni, sio kufanya matendo.

Hakuna wa kuitoa CCM Madarakani ktk nchi hii.
 
Sidhani kama Dudubaya ni project ya watu labda waanze kumtumia kwa sasa kama project baada ya kuona mwitikio wake kwa wananchi. Na ili kumgeuza project kuna namna itabidi na wao wakubali watu wao waumizwe na project ya Dudubaya

Nacho kiona kwa mtoa hoja ni yale yale ya watu wa vijiweni ya kutomuamini kila mtu

Kwa mfano; ukipita vijiweni siku za hivi karibuni story ni nyingi kumuhusu Heche, Mnyika, Boni Yai, Lema na Sugu ndo usiseme kabisa

Haiwezekani eti kila linalofanywa nje ya mawazo au matarajio ya wengine ihesabike kuwa project

Kwa hiyo kisa kuna kesi ya uhaini ya Tundu Lisu ndio kila kitu kisimame?

Kuwa na koo nyingi zisizo na mashoga haimaanishi ushoga haupo

Jaribuni kujipa muda kuchunguza hiki kizazi cha sasa mtaelewa ushoga unakua kwa kasi kiasi gani

Jambo moja naweza kuwahakikishia hapa, kwa watoto walioko mashuleni kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne hakuna shule hata moja haina watoto walioharibiwa kuanzia watano na kuendelea. Hili ni kwa shule za serikali na binafsi

Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani. Hatutakiwi kusubiri lishindikane kabisa ndipo tuanze kukemea

Kama kweli Dudubaya ni project ya serikali basi hii ni moja ya productive project ukiachana na zile za wanaume kushikwa mabega na nyeti zao kuhama. Angalau sasa wanaanza kubuni project zinazoisaidia jamii hata kwa asilimia hiyo ndogo

Haya mengine ya Tundu Lisu kupigania haki na baadhi yetu kuishia kusoma, ku comment na kuhamasishana kwenye social media bila kuonekana physically ipo siku akili itatukaa sawa tu na tutaamka

Huoni watu walikuwa wanapigwa virungu na polisi wakiwa mahakamanj na wanaishia kurekodiana tu bila kufanya chochote?

Lakini juzi umeona Dodoma kilichotokea kwa wale abiria wa SATCO na wananchi waliokuwa jirani?

Ipo siku hawataishia kusema "tushuke" badala yake watamuuliza aliyetoa bastola alitaka afanye nini na hichohicho alichotaka kufanya atafanyiwa yeye

Tundu Lisu anachopitia hakiwezi kupotea tu! Mateso na manyanyaso anayopitia ni sadaka yake kwa watanzania na sadaka huwa haendi bure kama ikitolewa kwa moyo mkunjufu
 
Sasa Mpare kwa akili zenu hizo mnazo pelekeshwa na pretty issues, mnaweza kuiondoa CCM? Oct 29 kilichotokea ilitakiwa iwe alarm kwa kila mtu kupambania mambo ya msingi ktk taifa hili, lakini ona sasa mko buzzy na drama ya dudubaya na mmejaa ukiwemo wewe pia.

Halafu usingizie Majeshi na vyombo vingine vya ulinzi, kwani nchi zingine hakuna hayo majeshi? Hadi wananchi wanapambania na kupigania taifa lao? Useme tu ukweli wabongo ni wazuri kwenye kubwata na kupiga zumari mtandaoni, sio kufanya matendo.

Hakuna wa kuitoa CCM Madarakani ktk nchi hii.
Sema tu nimechoka kuandika, sijui ni huu uzee. Ila kwenye hii hoja kuna arguments nyingi tu.

Fuatilia nchi nyingine wanafanyaje hadi kufikia kuondoa serikali zao madarakani, linganisha na hapa bongo.

Issue ya dudubaya ni moja ya mambo ambayo ni muhimu yakajadiliwa, serikali au nchi haiwezi kudeal na kitu kimoja tu, vyote vitaenda sawia kwa sababu mambo ni mengi. So kujadili issues tofauti na siasa ni kawaida, kuongelea ushoga na athari zake haififishi juhudi zingine za wadau.
 
Para ya mwisho ndio kete ambayo CCM huwa hutumia kumaliza missions zao.
Kazi ipo hapo.
 
KANU walikua wanaambiana hivi leo wako wapi? CCM hii kama ilivyo haivuki 2035 madarakani. Unless wabadilike, na bahati mbaya, CCM hii haiwezi jivua gamba tena. Gamba lake limeunganikana na nyama yake so, haviwezi tenganishwa.

CCP wameweza tawala miaka yote, sababu tu wamefanikiwa kuindeleza china kiuchumi, kijamii, kiteknolojia kwa kiwango kikubwa sana. Imewatoa watu wake 800 katika umasikini, zaidi ya 70%.

Kuna mawazo, nia na mipango mizuri sana lakini changamoto ni mfumo wa CCM umehodhiwa kiasi haiwezi telelezq hayo.

Generation change, huondoa tawala madarakani. Kama kilichotokea 2025 huoni kama ni redflag, basi subiri surprise.
Mleta uzi anawaita watanzania wajinga wakati yeye ndo mjinga,,, yaani hata ule mwamko wa Oktoba anaona kawaida tu,, mpuuzi kweli,,, badala ya kuwashauri hao CCM kureke
 
Ok, sawa, vipi na huu mgomo wa madereva, ni zuga au ni kweli? Maana umeibuka attention ya watu ikiwa kwenye siku ya mwisho ya kesi. Madereva wanagoma wakati ambao migomo ilishasahaulika, wanagoma kwa ujasiri zama za utekaji, je ni mgomo feki au ni wa kweli?
 
Back
Top Bottom