CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

sema ccm isipoanguka hapa kwa samia, nadhani itachukua miaka mingine mingi kidogo
CCM haitamfia Samia, ila ajae itamfia. Sababu kuu ni mbili tu, Mabadiliko ya kizazi na kukua kwa teknolojia ya upashanaji habari. Hata iweje, hakuna mbinu inayoweza zuia haya.

60% ya kizazi cha sasa hakina connection yoyote na CCM, pili propaganda sasa zimekuwa ngumu sana kwa sababu ya urahisi wa uhuru wa habari.

Hebu fikiria issue ya lema, isingekuwa na social medias, CCM wangeikomalia na ingewatafuna vibaya sana. Ila leo unamtuhumu kaka yake lissu, baada ya dakika 5 tu anajitokeza na kukanusha. Katibu mkuu anakanusa same minute, nchi nzima imepata majibu, watu wanachuja na kujua pumba na mchele ni zipi.

Fikiria mazingira ambayo mahakama imezimwa, lakini watu wanajua walau nini kinaendelea mahakamani. Isingekuwa social medias watu wanagekuwa hata wamepoteza touch na Lissu. Imagine yote haya yanayotokea, yarudishe hadi 2010. Ndio maana dola ilifanikiwa sana kuvizima vyama kwa sababu ilikuwa inaweza kutunga propaganda na kufanikiwa sababu ilicontrol flow ya taarifa.

Nakumbuka enzi za CUF, mahita alijitokeza na kutoa tuhuma kuwa kuna kontena na visu limekamatwa la watu wa CUF, maskini, CUF hata kujitetea ilikuwa ngumu sababu habari wataipeleka wapi ikiwa medias zimetishwa? Mahita IGP alikuwa katili kweli. Watu kweli waliihofia CUF. Leo, vita ya propaganda inachezwa lakini inazimwa kwa urahisi. Enzi za nyuma wale waliokuwa wanapangwa kumtuhumu heche, wangeaminika, ila leo teknolojia inawezesha hata behind the scenes zivuje.

So, hii wave ya CCM naamini imefika mwisho. Bahati mbaya, hofu yangu inaisha kwa njia za vurugu. Maana CCM haifanyi siasa za ushwishi tena, bali zimefungamana na dola.

Time will tell, ila historia huacha patterns.

Cc: Pascal Mayalla
 
  • Thanks
Reactions: Lax

naam uchochezi wote huanzia ccm, na baadae inaacha madhara makubwa,
wazee hua wananiambia hali ya kubanwa kwa media kipindi hiko kukiwa na habari za kudai mishahara hiyo siku magazeti hayapatikani, hivyo habari inakua haijatoka
acha tuone hali itandaje
 
Hoja yako ni ya msingi ila inataka kuzuia mambo mengine yasisemwe kwa sababu tuna shida kubwa zaidi ya hiyo. Ushoga ni jambo baya kuliko tunavyoweza kulizungumzia hapa, kila jambo lisemwe kwa kadri mtu atakavyotumiwa na Mungu.
 
Robert tangu juzi unapinga sana harakati za dudu baya tena kwa nguvu kubwa mno na unaungwa mkono sana na bichwa,coca and Others je na wewe ni Miongoni mwao? Mashoga munaanza kujitokeza mmoja mmoja kwa vilio tofauti. Nilikuwa nakuheshimu sana ila kama unanyonya ****** bsi kaka gudibai
Ndio tatizo la Wabongo hili. Duuh.
 
kama deception ndo njia wanayotumia basi wamekwisha kufa bado kuzikwa tu,maana chama makini kinajihakikishia kubakia madarakani kwa kusimamia serikali kwa mujibu wa katiba ya nchi
 
Usiwasanue hawa waja, waache hivyo hivyo.
Unahisi watakuelewa? Tatizo ni ELIMU, na sababu kuu ni UJINGA.
1790435619716.png
 
Hakuna wa kuitoa CCM ktk nchi hii, acha kujidanganya bwashee, watakucheka wenzio.

Mbaki kubwata mitandaoni basi, hilo ndio mnaweza.
Na huu ndio ukweli. Watanzania ni species ya ajabu sana.
 
2150 kila takataka ya kipindi hiki itakuwa kaburini na hakuna atakayewakumbuka kwa lolote

Jifunzeni kuishi
 
kwenye hii movement, kuna mbinu zozote za kuwakabili waingiliaji ?
vipi uthibiti wa movies/series kutoka magharibi/asia ?
public inavojiconduct kupita maeneo ya masoko/stendi/vijiwe ni kawaida sana watu wakikosana kukashifiana hivyo, mashule ya yaangaliwa? ,

mapambano yanalenga uhalisia?
Hii vita inatuhusu sote Mkuu, tuungane kuipigana
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mpaka sasa hivi kuna maboko ya:

Nchimbi: huyu ni wa kwao lakini nyumbu zinaweweseka na kusahau yaliyo muhimu kwao.
Jezi za Taifa: nyumbu huku pia wapo hata ukiwauliza Lissu amesemaje leo hawajui, ila wanajua bashite kasema nini
Dudubaya: hapa ndio mmeunganishwa wote buku 7 na nyumbu wamejikuta chungu kimoja
 
Back
Top Bottom