CCM: Hatma ya Uanachama wa Membe ilishafika mwisho akitaka aombe upya au asubiri msamaha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha.

Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM hakiyaogopi.

Source The Citizen!

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
 
Tatizo mzee Membe anaongea sana, hadi Wapinzani wake kisiasa wanamsoma kirahisi..

Kukaa kwake kimya ilikuwa inawashangaza sana CCM, ndio maana Katibu Mkuu alifikia wakati akawa anatamani Membe aombe radhi arudi kwenye Chama.

Sasa anavyoongea ongea anauza ramani.
 
Njia ni nyeupe sasa...lolote laweza kutokea vyama vya Chadema, Act wazalendo nk wanaweza kutoa taarifa muda wowote
 
Anajipanga kwa 2025 mkuu ,hizo fujo zote lengo lake ndio hilo
Tatizo mzee Membe anaongea sana, hadi Wapinzani wake kisiasa wanamsoma kirahisi..

Kukaa kwake kimya ilikuwa inawashangaza sana CCM, ndio maana Katibu Mkuu alifikia wakati akawa anatamani Membe aombe radhi arudi kwenye Chama.

Sasa anavyoongea ongea anauza ramani.
 
Chadema msimpokee Membe labda aende Cuf na Act kwa vibaraka wa ccm
 
Anajipanga kwa 2025 mkuu ,hizo fujo zote lengo lake ndio hilo
Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.

Kwenye siasa mambo yanageuka haraka sana...

Nafasi ya Urais inaonekana sio rafiki kwa wanaojipanga kwa muda mrefu.

Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
 
Membe hakuna kuondokamo, hakikisha unapambana within, - bado una support kubwa ya wajumbe wa NEC, wanachama na washabiki wa CCM.
 
Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Basi kwa taarifa yako mitandao ndani ya CCM huwa haifi, yaweza kupoaa kisha ikaibuka upya. Kazi ni pevu.
 
Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.

Kwenye siasa mambo yanageuka haraka sana...

Nafasi ya Urais inaonekana sio rafiki kwa wanaojipanga kwa muda mrefu.

Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Ni kweli kabisa kaka siasa ni kama bahati nasibu,pia kama harufu huja na kuondoka! siasa huwa haina mambo ya kujipanga mambo yanatokea kama zali la mentali na hii sio kwa Tanzania pekee ni duniani kote.
 
Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha.

Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM hakiyaogopi.

Source The Citizen!

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Jasusi anasubiri NEC au CC ndio watoe TAMKO na sio huyo KANALI FEKI.
 
Basi kwa taarifa yako mitandao ndani ya CCM huwa haifi, yaweza kupoaa kisha ikaibuka upya. Kazi ni pevu.
Mitandao huwa inakufa brother tena vizuri tu! angalia mitandao iliyokuwepo kipindi cha Mwinyi leo ikowapi angalia mitandao iliyokuwepo kipindi cha Makapa leo ipo wapi?
 
Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.

Kwenye siasa mambo yanageuka haraka sana...

Nafasi ya Urais inaonekana sio rafiki kwa wanaojipanga kwa muda mrefu.

Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Jambo liliomsaidia kikwete ni kuona mbali na kumuondoa yule mzee haraka, lasivyo nae urais angeusikilizia kwenye bomba!.
 
Back
Top Bottom