Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Analitaja beberu lakeDaaah! Wewe kutwa kuchwa unaiwaza chadema tu
Analitaja beberu lakeDaaah! Wewe kutwa kuchwa unaiwaza chadema tu
Atasubiri saaana huyo MembeJasusi anasubiri NEC au CC ndio watoe TAMKO na sio huyo KANALI FEKI.
Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.
Kwenye siasa mambo yanageuka haraka sana...
Nafasi ya Urais inaonekana sio rafiki kwa wanaojipanga kwa muda mrefu.
Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Hahahaaaa......... Mbowe kabadili gia angani anagombea ubunge!Naona signature imechenji mkuu...
Maendeleo hayana vyama 10 yatosha?
mzee Membe njoo huku kuna vitoto vinanuka maziwa mdomoni vinataka kuchezea sharubu zako!Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha.
Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM hakiyaogopi.
Source The Citizen!
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Mzee mkapa ndiyo alituharibia move!! kwa hoja kwamba wote wawili yeye na EL wakatwe ili kukinusuru chama, hapo ndipo dodo chini ya mnazi likapatikana.Sasa alishindwa vipi 2015? Nyie mjazeni upepo tu.
Amenukuu ibara ya ngapi ya katiba ya ccm ?Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha.
Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM hakiyaogopi.
Source The Citizen!
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Sijakuelewa mkuu......wewe umesema aombe samahani...halafu unasema tena kosa atasema yeye....acha utani....Atasema yeye
Sijakuelewa mkuu......wewe umesema aombe samahani...halafu unasema tena kosa atasema yeye....acha utani....
Sijui...mgoja tuone hatima yake kisiasa.....Kama alipewa adhabu means anamakosa
Anajipanga kwa 2025 mkuu ,hizo fujo zote lengo lake ndio hilo
kipindi akiwa waziri wa mambo ya nje tulikua tuingie vitani na Rwanda na Malawi. Alipwaya.Sijawai Kuona Tija Ya Membe
Na 2025 ikifika utamwona hatadai tena hiyo tume huru ya uchaguzi
Hapa Kati lolote linaweza kutokea - JASUSIAtasubiri saaana huyo Membe
Tuanze mara ngapi?Ndio ndio tuanze kumchangia kwa ajili ya kampeni