johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tatizo mzee Membe anaongea sana, hadi Wapinzani wake kisiasa wanamsoma kirahisi..
Kukaa kwake kimya ilikuwa inawashangaza sana CCM, ndio maana Katibu Mkuu alifikia wakati akawa anatamani Membe aombe radhi arudi kwenye Chama.
Sasa anavyoongea ongea anauza ramani.
Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.Anajipanga kwa 2025 mkuu ,hizo fujo zote lengo lake ndio hilo
Daaah! Wewe kutwa kuchwa unaiwaza chadema tuChadema tumchukue membe hakika tutashinda njaa
Basi kwa taarifa yako mitandao ndani ya CCM huwa haifi, yaweza kupoaa kisha ikaibuka upya. Kazi ni pevu.Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Ni kweli kabisa kaka siasa ni kama bahati nasibu,pia kama harufu huja na kuondoka! siasa huwa haina mambo ya kujipanga mambo yanatokea kama zali la mentali na hii sio kwa Tanzania pekee ni duniani kote.Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.
Kwenye siasa mambo yanageuka haraka sana...
Nafasi ya Urais inaonekana sio rafiki kwa wanaojipanga kwa muda mrefu.
Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Jasusi anasubiri NEC au CC ndio watoe TAMKO na sio huyo KANALI FEKI.Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha.
Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM hakiyaogopi.
Source The Citizen!
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Mitandao huwa inakufa brother tena vizuri tu! angalia mitandao iliyokuwepo kipindi cha Mwinyi leo ikowapi angalia mitandao iliyokuwepo kipindi cha Makapa leo ipo wapi?Basi kwa taarifa yako mitandao ndani ya CCM huwa haifi, yaweza kupoaa kisha ikaibuka upya. Kazi ni pevu.
Kwani ni mwanachama? Maana mara useme aende upinzani, mara anajipanga 2025. Ni kama vile you have no clue ya anachokifanya. Unabahatisha.Anajipanga kwa 2025 mkuu ,hizo fujo zote lengo lake ndio hilo
Jambo liliomsaidia kikwete ni kuona mbali na kumuondoa yule mzee haraka, lasivyo nae urais angeusikilizia kwenye bomba!.Hana lolote wakati anataka kumrithi Kikwete alijipanga kwa muda gani, Lowasa alijipanga kwa muda gani.
Kwenye siasa mambo yanageuka haraka sana...
Nafasi ya Urais inaonekana sio rafiki kwa wanaojipanga kwa muda mrefu.
Ni Kwekete tu alifanikiwa sababu alikuwa na mtandao wa kibabe ndani ya Chama.
Kwani ni mwanachama? Maana mara useme aende upinzani, mara anajipanga 2025. Ni kama vile you have no clue ya anachokifanya. Unabahatisha.
Chadema msimpokee Membe labda aende Cuf na Act kwa vibaraka wa ccm