CCM: Hatma ya Uanachama wa Membe ilishafika mwisho akitaka aombe upya au asubiri msamaha!

Naona mh. Membe akisubiri uwaumuzi wa NEC atacheleweshwa ajiunge tu na CHAMA KINGINE- ACT au CHDM apambane vzr
 
Huyu Kanali ndo Halmashauri kuu ya Chama?

Kwa mujibu wa udikteta, Membe siyo mwanachama wa CCM

Ila kwa mujibu wa kanuni na taratibu xa chama Membe bado ni mwanachama halali.

Kamati kuu ya CCM haina power za kufukuza mtu uanachama labda kwa mujibu wa udikteta wa Mwenyekiti tu
 
Huyu Lubinga ni wapi katika katiba ya ccm amepewa dhamana ya kuzungumzia maamuzi yanayotakiwa kufanywa kwa kuheshimu katiba!?

 
Membe hakuna kuondokamo, hakikisha unapambana within, - bado una support kubwa ya wajumbe wa NEC, wanachama na washabiki wa CCM.
Sasa alishindwa vipi 2015? Nyie mjazeni upepo tu.
 
Naona signature imechenji mkuu...

Maendeleo hayana vyama 10 yatosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…