CCM: Hatma ya Uanachama wa Membe ilishafika mwisho akitaka aombe upya au asubiri msamaha!

Kikwete alitengenezwa na mwinyi pia alikuwa ananyota ya siasa tofauti na membe hana nyota kabisa

Ni vigumu sana ukakosana na Rais aliyepo madarakani alafu utoboe

Anachofanya membe ni kujaribu kufifisha nguvu za Mwenyekiti ili 2025 wamuweke mgombea atakayelinda maslahi yao
 
mzee Membe njoo huku kuna vitoto vinanuka maziwa mdomoni vinataka kuchezea sharubu zako!
 
Sasa alishindwa vipi 2015? Nyie mjazeni upepo tu.
Mzee mkapa ndiyo alituharibia move!! kwa hoja kwamba wote wawili yeye na EL wakatwe ili kukinusuru chama, hapo ndipo dodo chini ya mnazi likapatikana.
 
Ccm patachimbika ....Membe nchi ni ya wote mamlaka ya wananchi huwekwa na wananchi...pambana Uingie hata 5 bora
 
Amenukuu ibara ya ngapi ya katiba ya ccm ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…