Ingawa wamekusikia kumbuka kwamba aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi!Polisi wanawadanganya ccm ila this time wawepo wasiwepo unyanyasaji basi
Hayo madaraja yanafaida gani, iwapo maisha yamekua magumu mtaani?Haya makubwa aliyofanya Rais wetu tufikishe ujumbe kwa jamii kwa kuwaambia nini kimefanyika.Siyo kila siku Lisu Lisu! Lisuuu... Twendeni tujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
jenga hoja acha mashushu mkuu....kisiwe kijiwe cha wahuni hiki..tunapoteza uweredi wa mada husika na kuanza mambo ya mashamsham hapa...tuwaachie akina dida na babu idd mambo hayooUmemsikia mgombea yeyote wa ccm akikimbia hoja??? kwanza ccm bado wako kwenye mchujo wewe umeyatoa wapi hayo, umbeyaumbeya tuuuuu
kwahiyo unanitukana mie ambaye mkewangu ni mjamzito na natakiwa kumwaisha hospitali..maanake hayana umuhimu aua hayafai sio???sio jibu zuri kwa hapoHayo madaraja yanafaida gani, iwapo maisha yamekua magumu mtaani?
usisahau kulikuwa na ngome ya roma....ilifika sehemu ikafa tu..kumbuka nature alwys take placeTatizo ni kuamini katika utawala wa milele. Hata kama yanafanyika mazuri sana, kutawala milele haiwezekani. Akili kubwa ingetengeneza mamluki na kumpa uraisi kwa chama kingine angalau kwa miaka hata 5 halafu unarudi unatawala 20 yrs then unacheza tena huo mchezo n.k.
Nani kakutukana? Kila mtu na mtazamo wake bhana!kwahiyo unanitukana mie ambaye mkewangu ni mjamzito na natakiwa kumwaisha hospitali..maanake hayana umuhimu aua hayafai sio???sio jibu zuri kwa hapo
mtazamo lazima uwe na uweredi lakini kaka....kwahiyo kama ni mtazamo ndo useme maisha yako magumu kwakuwa road zinajengwa au???ndege za atcl sio lazima tupande mm na ww hapana..kuna watu wanafanya trip day to night wanazihtaji sana hizo kuliko kingne chchte kile..jenga hoja that's my pointNani kakutukana? Kila mtu na mtazamo wake bhana!
Sasa kama toka 2015 sijaengezewa mshara wala kupandishwa cheo unataka niseme nini?mtazamo lazima uwe na uweredi lakini kaka....kwahiyo kama ni mtazamo ndo useme maisha yako magumu kwakuwa road zinajengwa au???ndege za atcl sio lazima tupande mm na ww hapana..kuna watu wanafanya trip day to night wanazihtaji sana hizo kuliko kingne chchte kile..jenga hoja that's my point
Hili wazo lingewezekana mwaka 1995 wakati Mrema ni mgombea wa NCCR-Mageuzi. Nadhani kwa sasa intelijensia za upinzani zimesoge mbele kidogo, rahisi kuwajua mamluki. Lakini all in all ni wazo zuri sana kwa kweliTatizo ni kuamini katika utawala wa milele. Hata kama yanafanyika mazuri sana, kutawala milele haiwezekani. Akili kubwa ingetengeneza mamluki na kumpa uraisi kwa chama kingine angalau kwa miaka hata 5 halafu unarudi unatawala 20 yrs then unacheza tena huo mchezo n.k.
Umeongea ukweli mkuu.Tatizo ninaloliona mimi ni kwamba generation mpya inahitaji vyama vipya haijui story za sijui Tanu ilileta uhuru,sijui Nyerere aliwafanya nini mabeberu etc.
Generation ya wazee ambao walikua wanamjua Nyerere/Mwinyi/Mkapa inaenda inapungua,kwa sasa watoto hawa wa 2000's hawaelewi chochote kile khs CCM.
Yaani kwa sasa hata CCM ifanye mazuri kiasi gani,hata ijenge nini,hata impe pesa kila mtu mfukoni muda wake wake wa kufa umeshafika kama ambavyo itafika kipindi vyama vingine vya upinzani navyo vitachokwa/kufa.
Nadhani zile stage za kuzaliwa,kukua mwishowe kufa zimeshapitiwa na CCM kwa hio kushindana na graph hio ni kupoteza muda tu.