Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza jazba.MAHANJU,
Umemsikia mgombea yeyote wa ccm akikimbia hoja? Kwanza CCM bado wako kwenye mchujo wewe umeyatoa wapi hayo, umbeyaumbeya tuuuuu
Mfano mzuri ni Malawi wamerudisha chama kilekile walichokiondoa madarakani miaka 25 iliyopita, tatizo ni kuwa wanatudharau sana wananchi, ndio maana mtu anasimama na kusema mkoa huu nitaufanya kuwa dubai, baada ya miaka 5 anarudi anakuta mkoa huko vilevile halafu anaongeza mengine.Tatizo ni kuamini katika utawala wa milele. Hata kama yanafanyika mazuri sana, kutawala milele haiwezekani. Akili kubwa ingetengeneza mamluki na kumpa uraisi kwa chama kingine angalau kwa miaka hata 5 halafu unarudi unatawala 20 yrs then unacheza tena huo mchezo n.k.
Acha nikuzomee tu we mong'oo.ukweli umeuma kabisa kabisa.....Hiloooooooo👄👄MAHANJU,
Umemsikia mgombea yeyote wa ccm akikimbia hoja? Kwanza CCM bado wako kwenye mchujo wewe umeyatoa wapi hayo, umbeyaumbeya tuuuuu
Ila unalipwa kwa wakati .Sasa kama toka 2015 sijaengezewa mshara wala kupandishwa cheo unataka niseme nini?
Trueusisahau kulikuwa na ngome ya roma....ilifika sehemu ikafa tu..kumbuka nature alwys take place
Vizazi vinabadilika.Mfano mzuri ni Malawi wamerudisha chama kilekile walichokiondoa madarakani miaka 25 iliyopita, tatizo ni kuwa wanatudharau sana wananchi, ndio maana mtu anasimama na kusema mkoa huu nitaufanya kuwa dubai, baada ya miaka 5 anarudi anakuta mkoa huko vilevile halafu anaongeza mengine.
Huyo magufol atatembea peke yake kama lisu au na policcm na majeshi?Hivi kati ya Cdm? Na ccm nani ahangaike na sera zake uchaguzi huu??. Embu usiteletee unazi hapa na kujifanya wewe CCM!.Hivi wewe akili yako unaona Kuna uwezekano wa wapinzani kushinda uchaguzi huu? Walishindwa 2015 kwa CCM ile! ,walipoungana! Watawaiweza hii CCM ya Magufuli?.Kwanza huyo tundu kaongea nini mpaka sasa zaidi ya ku mu attack jpm!. Mnandanganyika na umati unaoenda kwa lissu kumdhamini ndo unafikili kwamba atashinda?.. Hivi Jpm naye angeamua kutembea na Gari kutafuta wadhamini mikoani unafikili ingekuaje?.. Au kwa vile unaona CCM wametulia tu?. Subiri kampeni zianze ndo utajua hujui!..