Uchaguzi 2020 CCM hatuupendi ukweli, tusione ajabu mgombea wetu akashindwa vibaya uchaguzi huu

Hahaha ccm imepiga campaign miaka mitano bila kubugudhiwa waliona wako sawa,leo nawaona wananyong'onyea kwa maneno ya Lisu ya wiki moja tu.

Imekuwaje?! Madaraja yame yeyuka?! Na vipi ndege zimeyeyuka pia?!

CCM wameambizana wakae kimya, Polepole na Bashiru wanapumzika ili kupata nguvu za campaign au ndio wamekosa hoja?!
 
Nimewaambia ukweli humu tena mimi mwanachama mwenzio ....wamenishambulia hatariii....
 
Mfano mzuri ni Malawi wamerudisha chama kilekile walichokiondoa madarakani miaka 25 iliyopita, tatizo ni kuwa wanatudharau sana wananchi, ndio maana mtu anasimama na kusema mkoa huu nitaufanya kuwa dubai, baada ya miaka 5 anarudi anakuta mkoa huko vilevile halafu anaongeza mengine.
 
Serikali ya CCM imesheheni WAHUNI na WAHALIFU lukuki, kuanzia JPM hadi wasaidizi wake. Ma Dikteta ni WASHENZI na WENDAWAZIMU hasa wanaposhindwa kwa hoja, tutarajie viroja vingi sana mwaka huu.
 
MAHANJU,

Umemsikia mgombea yeyote wa ccm akikimbia hoja? Kwanza CCM bado wako kwenye mchujo wewe umeyatoa wapi hayo, umbeyaumbeya tuuuuu
Acha nikuzomee tu we mong'oo.ukweli umeuma kabisa kabisa.....Hiloooooooođź‘„đź‘„
 
Vizazi vinabadilika.
 
Huyo magufol atatembea peke yake kama lisu au na policcm na majeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…