Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
NkundaaaaaaaaaaaasaHakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania.
Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena?
Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa na hofu na woga wa kupambana nao.
Jee CCM hawajihesabii kuwa wameshinda vita ya kuwafanya watanzania kuwa watumwa wao?
WoteeUkisema
CCM unamaanisha hata mwenyekiti wa mtaa na balozi wa nyumba kumi? Come on sema lile Genge ndani CCM lakini sio ccm
Wote
Inasikitisha na kuogofya pia.Mkuu Hakuna aliye salama.
Sisi Watanganyika wote Tumetekwa nyala na Kikundi cha watu wachache sana (5)
Tulivyokuwa wapumbavu tunajiona Tupo salama Tunasahau ya Balozi Polepole, Exile za warioba Nk
HII NCHI HAKUNA ALIYE SALAMA.
WOTE TUMETEKWA BADO SIKU YA KUPOTEA NA KUUWAWA TU.