GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂

1753795544553.png
 
Huyo ndo muhasisi wa Chama Cha MaChawa Tanzania, na uchawa umemlipa kwelikweli mpaka amejenga ghorofa
 
Tatizo mnadili na watu wa kuwatoa kwenye muelekeo. Yaan nikionaga watu wanajadili kuhusu wakina Mwijaku, doto baiskeli kuhusu siasa naona ni kama watu wasiojua mission za CCM. Hv unafikiri hao wakina Mwijaku hawajui kwamba wasingepenya katika kinyangangiro hiki? Big ishu ni namna Gani na Kwa namna Gani kikwete family inavyozidi kujikita mzizi angalao huo ndio ingekuwa mjadala wa kisiasa na ni namna Gani tufanye CCM iwe huru kutoka hapa ilipo
 
Back
Top Bottom