Labda file lake limekosa sahihi ya vyombo vya usalama.atakuwa Mkuu wa wilaya
Taahira huyu nani amteue kuwa mkuu wa wilaya?atakuwa Mkuu wa wilaya
πππHuyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi π π
Na huku kwenye utangazaji amepigwa chini, huyu anaenda kuolewa mwaka huu
Haji Manara: Mwijaku ni kalio la taifaatakuwa Mkuu wa wilaya