Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wote wanawaza kwa kutumia matumbo yao na ubongo wa nziOneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”.
Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda.
Lissu akagombea Uenyekiti, CCM wakatumia Kila mbinu Kumwangusha, Huku Pesa za Abdul zikisadikika kutumika, TUNDU LISSU AKASHINDA na akaanza Kampeni za NORENE .
CCM Wakaona alaaa, wakaanza nao Mikutano ya kujibu mashambulizi ,mara Virusi vya Ebola , M-Pox , bado LISSU AKAZIDI KUCHANJA MBUGA.
CCM Imemkamata LISSU wakampa Kesi ya UHAINI... Huku Nje kuanzia Mitandaoni Mtaani , nje ya Nchi ,na Dunia Kwa ujumla, wasomi wanasema "UHAINI SI MANENO , NI MIPANGO NA MATENDO".
CCM wakaja na Igizo la KUSAINISHA VYAMA 12/4 , akili zao zikadhan ni mtego, tuwaone kweli kama Hawatokuja, walidhani CHADEMA inatania na NORENE , Katibu Mkuu Mnyika akasema Hatoshiriki na Hajamtuma MTU ( hapa bila KM kusema, CCM ingeleta MTU wao wakasema alotumwa ).
KAILIMA WA CCM , alipoona CHADEMA wamerukà mtego, akaja na Hoja ya "Ambaye Hajasaini ,Hatoshiriki uchaguzi "
Kipigo kimemgeukia KAILIMA, haamini ,UJUAJI wake Mdogo wa Sheria na Katiba ya Nchi, wasomi wanamchachafya, kuanzia Tundu Lissu mpaka Wasomi Mmoja Mmoja mpaka Wananchi wa kawaida, tuliosoma Katiba tunasema "
Hamna kifungu kwenye katiba kinachosema chama kisiposaini kanuni za madili, hakitashiriki uchaguzi, hilo tisa, kumi katiba haitaji muda maalumu wa chama au vyama visainishww lini, wakati gan na baada ya muda gan havitasainishwa "
CCM Kila Igizo analokuja nalo, anapigwa KO.
Wenye Hekima, Busara na Akili, huko CCM mpo??
Hivi mpaka Sasa Kuna nyuzi milioni ngapi za nyumbu za kujifariji?!!! Naomba mods zihesabuni Kisha tuzupeleke Guinness inawezekana zikavunja rekodi mtandao wetu ukatengeneza jina.
No reform No electionMuda ndio jibu sahihi, mwisho wake sijui itakuwaje.
Bado hujasemaHivi mpaka Sasa Kuna nyuzi milioni ngapi za nyumbu za kujifariji?!!! Naomba mods zihesabuni Kisha tuzupeleke Guinness inawezekana zikavunja rekodi mtandao wetu ukatengeneza jina.
Na Chadema hamna election kweli 😂No reform No election
Kauli ya kipumbavu mno mno, ndio ujue kuna watu wako kwenye positiomn na hawajui majukumu yao"Ambaye Hajasaini ,Hatoshiriki uchaguzi "
Ungekuwa unahangaika na Mhaini Lissu aliyeko Segerea gerezani ningekuona wa maana sasa unahangaika na vitu usivyovijua. Nyumbu ni shida sana!!Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”.
Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda.
Lissu akagombea Uenyekiti, CCM wakatumia Kila mbinu Kumwangusha, Huku Pesa za Abdul zikisadikika kutumika, TUNDU LISSU AKASHINDA na akaanza Kampeni za NORENE .
CCM Wakaona alaaa, wakaanza nao Mikutano ya kujibu mashambulizi ,mara Virusi vya Ebola , M-Pox , bado LISSU AKAZIDI KUCHANJA MBUGA.
CCM Imemkamata LISSU wakampa Kesi ya UHAINI... Huku Nje kuanzia Mitandaoni Mtaani , nje ya Nchi ,na Dunia Kwa ujumla, wasomi wanasema "UHAINI SI MANENO , NI MIPANGO NA MATENDO".
CCM wakaja na Igizo la KUSAINISHA VYAMA 12/4 , akili zao zikadhan ni mtego, tuwaone kweli kama Hawatokuja, walidhani CHADEMA inatania na NORENE , Katibu Mkuu Mnyika akasema Hatoshiriki na Hajamtuma MTU ( hapa bila KM kusema, CCM ingeleta MTU wao wakasema alotumwa ).
KAILIMA WA CCM , alipoona CHADEMA wamerukà mtego, akaja na Hoja ya "Ambaye Hajasaini ,Hatoshiriki uchaguzi "
Kipigo kimemgeukia KAILIMA, haamini ,UJUAJI wake Mdogo wa Sheria na Katiba ya Nchi, wasomi wanamchachafya, kuanzia Tundu Lissu mpaka Wasomi Mmoja Mmoja mpaka Wananchi wa kawaida, tuliosoma Katiba tunasema "
Hamna kifungu kwenye katiba kinachosema chama kisiposaini kanuni za madili, hakitashiriki uchaguzi, hilo tisa, kumi katiba haitaji muda maalumu wa chama au vyama visainishww lini, wakati gan na baada ya muda gan havitasainishwa "
CCM Kila Igizo analokuja nalo, anapigwa KO.
Wenye Hekima, Busara na Akili, huko CCM mpo??
CCM kinabebwa tu na Vyombo vya Dola.
Ni mpumbavu tu atakayesema kuwa LISSU ni MHAINIUngekuwa unahangaika na Mhaini Lissu aliyeko Segerea gerezani ningekuona wa maana sasa unahangaika na vitu usivyovijua. Nyumbu ni shida sana!!