CCM hawana Think Tank , wanajiendea endea tu na Kila wanavyojiendea Linawabumia, LISSU anazidi kuchanja Mbuga

Ni mpumbavu tu atakayesema kuwa LISSU ni MHAINI
Tatizo ni kwamba, hawa wanasheria, majaji na waendesha mashtaka wanasahau kwamba huko darasani hawakuwa peke yao. Kuna vipanga wengine waliwatangulia na hawawaonei watu kama ilivyo utaratibu wa kubambikia watu kesi, na wengine wanapigiwa simu na kufunguka mazima... ajabu sana bila kujua kwamba wanarekodiwa, wao ni kufunguka tu.
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Washauri wa Rais masuala ya siasa walikuwa ni akina DC Magoti!

Ndiyo Think Tanks hao!
 
Tuna uongozi wa ajabu sana sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…