kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hakuna ubishi kuwa uchaguzi huu wa CCM umetengeneza CCM ambayo inafanana zaidi na Mzee Jakaya na Mzee Yusufu kwa tabia, muonekano na DNA.
Nionavyo Mimi CCM hii imetundikwa kwenye mabega ya wazee Kinana na Makamba na vijana wao akina akina Nape na January chini ya uongozi wa Mzee Jakaya (baba lao), CCM ileeeee,.
Tutegemee kuona na kusikia mengi zaidi kutoka kwa wazee hawa kuanzia Sasa hadi 2025.
Mtifuano utakuwa mkali sana baina ya Kanda ya pwani na Zanzibar kwa upande mmoja na Kanda za Ziwa, Magharibi, Kati na Kusini milimani kwa upande mwingine, lakini hasahasa ni baina ya Pwani na Ziwa/Kati na Kanda ya Pwani.
Na Hivi ndivyo nionavyo mimi