Uchaguzi 2020 CCM huwa hawaangalii Mgombea Bora bali wanaangalia mtu atakeyeweza kushinda jimbo

Uchaguzi 2020 CCM huwa hawaangalii Mgombea Bora bali wanaangalia mtu atakeyeweza kushinda jimbo

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.

CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha Ubunge, haijalishi ni kilaza au la.
 
Kwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga?

Gekul anaweza kushinda kule Manyara?

Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?

Silinde anaweza shinda Tunduma?

Gwajima anaweza shinda Kawe?

😂😂😂😂😂😂 kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!

Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!
 
Jiulize ilikuaje Mtulia akapata jimbo la kinondoni mwaka 2015.
 
Kwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga???!

Gekul anaweza kushinda kule Manyara??

Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?????

Silinde anaweza shinda Tunduma??????

Gwajima anaweza shinda Kawe??????

😂😂😂😂😂😂 kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!!!!

Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!

Sina maana kuwa hao uliowataja watashinda au la ila kwa tathimini Yap wao wanaona hao ndo wanaweza kuwapa ushindi. Ndio maana zipo sehemu wameamua kumuacha aliyeongoza kura za maoni na kumchukua mwingine ambaye hata hakuongoza
 
CCM ni chama kizee kisichokuwa "dynamic" na mabadiliko ya sasa ya kidunia. Ni chama ambacho kinachonufaika mno na lindi la umaskini wa kutupwa wa wapigakura wenye kukiunga vmkono, huku wengi wao wakiishi maeneo ya vijijini na vitongoji maskini kwa maeneo ya mijini.

Uhakika wake wa kuzidi kubakia madarakani unategemea uwekezaji wake wa fikra duni ktk akili za tabaka la watu fukara ambao ndio wengi wenye kukiunga mkono. Ukweli huu unaungwa mkono na tafiti zote zenye kuaminika ambazo zimewahi kufanywa hapa nchini ktk miaka ya hivi karibuni.
tapatalk_1594260968709.jpeg
 
Kwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga???!

Gekul anaweza kushinda kule Manyara??

Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?????

Silinde anaweza shinda Tunduma??????

Gwajima anaweza shinda Kawe??????

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!!!!

Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!

Huku Tunduma tunahoji kwanini wamesumbua wajumbe?
 
Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa Aina yake lakini Cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.
CCM huwa hawaangalii mgombea Bora Bali wanachotaka Ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha ubunge, haijalishi Ni kilaza au la.
Chadema huwa hawajali elimu ndio maana mwenyekiti taifa Freeman Mbowe Ni form six division zero na katibu mkuu mnyika Ni form six pia na mbunge wa tumduma Frank mwakanjoka Ni darasa la Saba
Chadema pia wako kibao
 
Kwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga?

Gekul anaweza kushinda kule Manyara?

Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?

Silinde anaweza shinda Tunduma?

Gwajima anaweza shinda Kawe?

😂😂😂😂😂😂 kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!

Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!
hahahahahahahahahaha piga spana baba
 
Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.

CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha Ubunge, haijalishi ni kilaza au la.
Kikao Cha uteuzi kilikuwa mkutano wa Berlin conference
Screenshot_20200822-134229.png
 
Chadema huwa hawajali elimu ndio maana mwenyekiti taifa Freeman Mbowe Ni form six division zero na katibu mkuu mnyika Ni form six pia na mbunge wa tumduma Frank mwakanjoka Ni darasa la Saba
Chadema pia wako kibao
Aliwezaje kugombea urais 2005 ?
 
Aliwezaje kugombea urais 2005 ?
Katiba ilikuwa inatamka wazi mtu kugombea awe anajua kusoma na kuandika tu haikutaja digrii ndio maana Mbowe aligombea uraisi na form six division zero yake

Hata 2015 una mgombea mkulima ndani ya CCM aliomba kuteuliwa akiwa darasa la Saba
 
Kwani katiba ilibadilishwa lini kuweka kipengele cha mgombea kuwa na degree ?
 
Back
Top Bottom