PolicyStandard seven atatunga pplicy gani itakayosaidia taifa?
Kwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga???!
Gekul anaweza kushinda kule Manyara??
Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?????
Silinde anaweza shinda Tunduma??????
Gwajima anaweza shinda Kawe??????
ππππππ kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!!!!
Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!
Kwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga???!
Gekul anaweza kushinda kule Manyara??
Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?????
Silinde anaweza shinda Tunduma??????
Gwajima anaweza shinda Kawe??????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!!!!
Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!
Silinde akipata kura hata 200 Tunduma ashukuru sana Mungu. Watu wa Tunduma nawajua mie, kwao kitu kinaitwa ujinga ni mwiko!!! Na wakiamua wameamua hata uwaue!Huku Tunduma tunahoji kwanini wamesumbua wajumbe?
Chadema huwa hawajali elimu ndio maana mwenyekiti taifa Freeman Mbowe Ni form six division zero na katibu mkuu mnyika Ni form six pia na mbunge wa tumduma Frank mwakanjoka Ni darasa la SabaWapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa Aina yake lakini Cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.
CCM huwa hawaangalii mgombea Bora Bali wanachotaka Ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha ubunge, haijalishi Ni kilaza au la.
hahahahahahahahahaha piga spana babaKwa iyo Patrobas Katambi anaweza kushinda Shinyanga?
Gekul anaweza kushinda kule Manyara?
Mwambe anaweza kushinda kule Ndanda?
Silinde anaweza shinda Tunduma?
Gwajima anaweza shinda Kawe?
ππππππ kweli CCM mnajua kujitoa ufahamu!!! Na kwa taarifa yenu hao watu hapo October watakataliwa na CCM wenyewe. Upinzani wataenda kumalizia nyundo tu!
Mwambieni mwenyekiti wenu, ubabe mwisho kwake, atajua hajui mwaka huu!!
Kikao Cha uteuzi kilikuwa mkutano wa Berlin conferenceWapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.
CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha Ubunge, haijalishi ni kilaza au la.
Aliwezaje kugombea urais 2005 ?Chadema huwa hawajali elimu ndio maana mwenyekiti taifa Freeman Mbowe Ni form six division zero na katibu mkuu mnyika Ni form six pia na mbunge wa tumduma Frank mwakanjoka Ni darasa la Saba
Chadema pia wako kibao
Katiba ilikuwa inatamka wazi mtu kugombea awe anajua kusoma na kuandika tu haikutaja digrii ndio maana Mbowe aligombea uraisi na form six division zero yakeAliwezaje kugombea urais 2005 ?
Kwani katiba ilibadilishwa lini kuweka kipengele cha mgombea kuwa na degree ?Katiba ilikuwa inatamka wazi mtu kugombea awe anajua kusoma na kuandika tu haikutaja digrii ndio maana Mbowe aligombea uraisi na form six division zero yake
Hata 2015 una mgombea mkulima ndani ya CCM aliomba kuteuliwa akiwa darasa la Saba