CCM huwa inawezaje kuwa na viongozi majambazi na katili?!

CCM huwa inawezaje kuwa na viongozi majambazi na katili?!

Nakumbuka sana hii story, niliwahi kureport hapa JF mwishoni mwa mwaka 2013 nikiwa pale Kisesa.

Mawe ya wananzengo ndio yaliyomuua huyu Mzee Mabina.

Kwa kweli tulichoka na matendo yake
 
Hii lazima ilitokea wakati wa urais wa fisadi Kikwete, wakati huo ccm ilikuwa kichaka cha majambazi.
 
Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM.

Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana.

Siku moja akipita kwenye kampeni za CCM nikamuuliza.....Lakini wewe mzee Mabina ni jambazi,sasa inakuwaje unataka tukupe udiwani?!!.....Mbele ya umati ule katika mkutano Mabina akanijibu yeye anafanya ujambazi nje ya nchi kama Kenya, Uganda nk. Halafu mtu kama mimi nina nini cha ubiwa na yeye. Uchaguzi ukafanyika Mabina akashinda udiwani.

Mabina alikuwa anaweza kuomba kununua kiwanja chako jirani na chake. Ukigoma anapiga fensi kiwanja chako na usimfanye kitu.

Katika utaratibu wake wa uporaji wa maeneo akajimilikisha eneo la mlima Manyama. Katika kufuatilia wananchi wakasala na kuvamia eneo na kumtaka Diwani Mabina aachie maeneo. Wananchi walisala sana. Akajua utani. Siku moja wananchi wakafamia eneo hilo na kung'oa miundombinu. Mabina akaja na jeshi lake lenye silaha za moto na kuanza kupiga risasi juu,wananchi wakaendelea kudinda. Wakaanza kumfukuza akakimbilia kwenye kijumba cha jirani.

Kwenye kijumba kile akajificha chocho asionekane,ghafla wananchi wakafika hapo na kuanza kumtafuta. Pale kulikuwa na katoto kalimuona alipojificha. Yule mtoto akawaonyesha wananzego alipojibanza Mabina. Mabina kuona wananchi wamesala akakapiga risasi kale katoto palepale na kukimbia mbio. Wananzengo wakaendelea kumfukuza mpaka wakampata.

Walipomdaka wakaona wamalizane naye palepale wakampiga mpaka kufa. Vyombo vingine kwa kuficha aibu ya chama viliripoti kuwa Mabina alijiua. Ila ukweli ndio huo alikula kichapo.

Nimewapa stori hii kutaka kuhoji kwamba CCM katika mazingira gani chama chenu hupata viongozi katili na majambazi kama hawa.

Asamaleko
Imagine jitu katili kabisa kama Magufuli likaweza kuwa Rais, cheee...incredible!
 
Historia ikajirudia Kwa Magufuli, Bashite na Sabaya. Na sasa Chui jike linaona roho mbaya ni itampa HESHIMA na ushindi. LAANAKUM
...Chui jike hana shida yeyote....tatizo nyie ni wachokozi sana na hamna nidhamu, jifunzeni kwa mwenzenu Zitto muone mtakavyoishi vizuri na utawala wake.
 
Back
Top Bottom