CCM huwa inawezaje kuwa na viongozi majambazi na katili?!

Nakumbuka sana hii story, niliwahi kureport hapa JF mwishoni mwa mwaka 2013 nikiwa pale Kisesa.

Mawe ya wananzengo ndio yaliyomuua huyu Mzee Mabina.

Kwa kweli tulichoka na matendo yake
 
Hii lazima ilitokea wakati wa urais wa fisadi Kikwete, wakati huo ccm ilikuwa kichaka cha majambazi.
 
Imagine jitu katili kabisa kama Magufuli likaweza kuwa Rais, cheee...incredible!
 
Historia ikajirudia Kwa Magufuli, Bashite na Sabaya. Na sasa Chui jike linaona roho mbaya ni itampa HESHIMA na ushindi. LAANAKUM
...Chui jike hana shida yeyote....tatizo nyie ni wachokozi sana na hamna nidhamu, jifunzeni kwa mwenzenu Zitto muone mtakavyoishi vizuri na utawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…