CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

Wasanii wakale wap sasa?... Msanii yupo tayari hata kuja kuimba kwenye birthday party ya mkeo kama utamlipa vizuri.
 
Mkuu ccm ilshakufa kitambo sana, imebaki dola tu
Cha kushangaza matanga yapo upande wa pili
1000018393.jpg
 
Back
Top Bottom